kibassaNyiboto
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 309
- 165
Sasa. Nawewe. Unataka. Kukumbushia. Mengine. Hujaskia. Yakwamba. Wanatimuana. Ukoo
hana lolote huyu anatishia watu uchawi wa kisambaa. kama haperform atatumbuliwa tu.Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
=======
Sasa hayo ya chawi wa kisambaa yametoka wapihana lolote huyu anatishia watu uchawi wa kisambaa. kama haperform atatumbuliwa tu.
Mkuu, hilo neno niliwahi kulisikia ukaguruni!kubwalata
Nilikuwa nautafuta sana huu uzi, sasa nimepata maana ya picha za makamba
Childish bevahiour!
Mkuu Mahanju njoo ulete mrejesho , au bado hujapata majibu ?Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
=======
Ha! Ha! Ha!January aliona mbali. Huyu jamaa hafai