January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

January Makamba, hizi picha unamaanisha nini? Makubwa!

Mbona ilijulkna kuwa utatu lazma uporomoshwe
1. Nepenepe
2.magulu
3.kambakoche
Ilikuwa ni suala la mda tu unabeba alf unatoboa kwa chin wanaanza kuvuja mmojammoja hd wote
 
Tuache utani, hapo January Makamba alikuwa anatuma ujumbe mzito kwa hali inayoendelea kwa sasa hapa nchini kuonyesha Makamba hakubaliani nayo, nadhani kuna wakubwa wamemtuma kufanya hivyo, Binafsi nimeelewa hivi.
1/Makufuli alitengenezwa tu kushika urais, ila waliomtengeneza wanamshangaa kujifinya mjuzi.
2/Makufuli ameanza kusahau alipotokea...
3/Makufuli hata afanye nini ili kujibadili sura lakini bado ni mfungwa...
4/Makufuli anajimaliza mwenyewe....
Aisee
 
Official account yake ni ipi? Unajambajamba tu, na kwa nini anahojiwa na Polisi au naye ni January Fake?

Yani we jamaa bichwa lako ni bovu, mtoa mada anazungumzia Instagram account, ndio nakwambia kwenye " official "IGA yako hajaandika huo ushudu, simply anarefer kwny fake AC.

Hlf swala la kuhojiwa labda nikueleweshe ni matokeo ya alichopost twitter kwamba mbali na kumjulisha kwamba karudi nyumbani salama polisi walitaka kufahamu kama alifunguka zaidi kuhusu watekaji.

Sasa jitahidi kufuatilia siasa vizuri ukiwa hujabanwa haja.
 
Picha hizi ziliwahi kupostiwa na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Komredi January Makamba punde tu baada ya kutangazwa kwa Baraza la Mawaziri. Picha hizi zilikuwa zimejaa tafsiri nyingi sana, na pengine mpaka leo zimekosa majibu. Je unazikumbuka picha hizi?
IMG_20190721_103025.jpeg
IMG_20190721_103007.jpeg
IMG_20190721_103005.jpeg
 
Back
Top Bottom