Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,119
- 3,063
Amekiri vijana wake ndio wamepost kwenye akaunti yake na akajaribu kutuaminisha anachoamini yy, kwa kifupi ni utovu mkubwa wa nidhamu, sidhani kama unaweza kupost picha kama hizo bila kuwa umepata viroba
Ni yeye amepost hasitake kufanya watu watoto, watu wali comment hapa kua atakuja kujifanya account yake ilikua hacked, kama alipost kwa maana nyingine na sio ya kumdiss maghufuli kwa nini akane, huyu makamba ni wa kuwekwa mbali na maghufuli sio salama kwa raisi wetu mpendwa