Ki Mun
JF-Expert Member
- Oct 6, 2014
- 3,442
- 4,393
Makamba hakukosea, kuna GURUWE liko mjini sijui liliingiaje!Kuna picha nimeziona kule Instagram, ni za January Makamba kwa ID zake! Sikujua anamaanisha nini ila zina ujumbe mkubwa sana na kama ni kwelihiyo ID ni verified basi Magufuli anahitaji zaidi ya Maombi.
Najaribu kuziweka humu zinanigomea naomba kama kuna mwanaJF Mwingine aliyechungulia inst anisaidie kuziweka humu.
=======