Achape Kazi apuuze makelele ya watu wanaomuona kama threat kwenye Urais baada ya mamaMifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.
Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.
Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.
Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Ameshusha kuaminiwa.ila kwa kuwa chief hangaya analipa fadhila ndo maana karudi.Kumsema mtu ni kosa la kiutendaji ..?
Ushamba ni kitu kibaya hovyo kuingilia mazungumzo ya watu yasiyo na maslah kwa taifa afu unapublish huu n uzumbukukuAmeshusha kuaminiwa.ila kwa kuwa chief hangaya analipa fadhila ndo maana karudi.
Huyo hakutakiwa kurudi hata kuwa mjumbe wa nyumba 10.
RubbishKuwa na shukrani CCM imekuzaa ww
Wachaaaaaaaaa.Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.
Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.
Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.
Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Hiyo mifuko ya plastiki aliiondoa baada ya kushinikwa za Rais kupitia waziri mkuu, yeye alikuwa ni propaganda za kukutana na wadau wa viwanda miaka nenda rudiMifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.
Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.
Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.
Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Mifuko ya plastic ni nguvu ya JPM, wananchi walikuwa wanamuogopa na kumlaumu JPM
Enzi zile kiongozi yoyote akitoa agizo Raia wanatekeleza!
Serikali ile ilikuwa imara!
Mimi ninayeandika ni mwalimu, nakumbuka kabla ya JPM tulikuwa tunawadharau waalimu wakuu, lakini huwezi amini, ndani ya utawala wa JPM sisi waalimu tuliwatii Sana waalimu wakuu
Sinario Kama hii ndio inayojitokeza huko tanesco, wafanyakazi wameacha uwajibikaji
Hakuna maintanance kakufanganya nani, ukweli ni kwamba kuna mgao , hakuna cha maintananceMifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.
Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.
Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.
Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Sio kweli utakua umehadisiwaHiyo mifuko ya plastiki aliiondoa baada ya kushinikwa za Rais kupitia waziri mkuu, yeye alikuwa ni propaganda za kukutana na wadau wa viwanda miaka nenda rudi
Fahamu hatari kubwa zinazozikabili nchi zinazotumia mifuko ya plastiki
kule vijijini wanapopika vyakula kama mahindi,wali , viazi wanafunika kwa kutumia mifuko ya plastic- hatari zaidi ya kupata kansa,,kule kwa mama ntilie mifuko ya plastic inatumika kuhifadhi joto kwenye vyakula kama ugali, pia mara nyingi vyakula vya moto vinabebewa kwenye mifuko hii- chipsi kwa...www.jamiiforums.com
Mwalimu scenario nayo unaiandika "sinario"..Mifuko ya plastic ni nguvu ya JPM, wananchi walikuwa wanamuogopa na kumlaumu JPM
Enzi zile kiongozi yoyote akitoa agizo Raia wanatekeleza!
Serikali ile ilikuwa imara!
Mimi ninayeandika ni mwalimu, nakumbuka kabla ya JPM tulikuwa tunawadharau waalimu wakuu, lakini huwezi amini, ndani ya utawala wa JPM sisi waalimu tuliwatii Sana waalimu wakuu
Sinario Kama hii ndio inayojitokeza huko tanesco, wafanyakazi wameacha uwajibikaji
Makamba ana mengi watu wanayajua nje na ndani ya uongozi, usiombe siku ikafika watu wakafunguka. Nadhani wanasubiri ajichanganye kwenye kugombea uraisi watu washushe nondo hasa lile ile issue yake ya kupa............waSio kweli utakua umehadisiwa
Wewe ukiitwa mshamba na mfanyakazi wako utafurahi?Ushamba ni kitu kibaya hovyo kuingilia mazungumzo ya watu yasiyo na maslah kwa taifa afu unapublish huu n uzumbukuku
Niko kijijini huku siko hapo town. Umeme kipindi cha mwendazake ilikuwa ni nadra kukatika. Toka aingizwe huyu makambo tunaenda wiki ya 3 sasa. Imekuwa nchi moja ya ajabu. Umeme kila siku unakatwa saa 1 asubuhi. Wanarudisha saa 1 jioni.We hujatumwa kumchafua