January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.

Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.

Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.

Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
😡😡😡😡
 
Magufuli mwenyewe alisema, kwamba hadi alipomlazimisha ndio akazuia mifuko ya plastiki, huna ulijualo, soma huo uzi nilioweka hapo utaelewa
Acheni wivu kila mtu anajua Makamba alifanya nini kwenye mifuko ya plastic sofa za reja reja mnazipenda sana JPM hakufanya kitu kwenye mifuko
 
Magufuli mwenyewe alisema, kwamba hadi alipomlazimisha ndio akazuia mifuko ya plastiki, huna ulijualo, soma huo uzi nilioweka hapo utaelewa
Unamwamin magufuli
Mtu mzushi na muongo muongo
M nilijua unatetea chama kuwa ubafunika kombe mwanaharamu apite kumbe uliingia mkenge
 
Niko kijijini huku siko hapo town. Umeme kipindi cha mwendazake ilikuwa ni nadra kukatika. Toka aingizwe huyu makambo tunaenda wiki ya 3 sasa. Imekuwa nchi moja ya ajabu. Umeme kila siku unakatwa saa 1 asubuhi. Wanarudisha saa 1 jioni.

Kwa hiyo mimi sijatumwa ila nafasi tu ya huyo aliekutuma ndio hiyo inajieleza kiutendaji. Na hii ni hujuma tu anaifanya huyo makambo wako
Tulikubaliana tupeane muda hadi Magufuli tulisema apewe muda na tukaraka kumuongeza hadi 2030 shida iko wapi Samia nae apewe muda
 
Nafasi ya nini tena?. Ndio maana nchi za wenzetu maendeleo yapo. Mtu akiboronga mara moja ni ndani,na nafasi hana. Hakuna nafasi za kipimo
 
Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.

Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.

Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.

Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Kwani hao wataalam haya matatizo hawakuyaona wakati wa Magu. January kwa kweli hii wizara imempwaya yaani haiwezi kabisa. Asiombe huruma kwa kivuli cha kumshutumu Marehemu ni dhambi kubwa sana. Hafai HAFAI HAFAI KABISAA ILA MUDA UTAONGEA
 
Hakuna kitubkama hicho muda utawaaibisha sababu tutapata suluhisho la kudumu hamtaamini
 
Makamba ana mengi watu wanayajua nje na ndani ya uongozi, usiombe siku ikafika watu wakafunguka. Nadhani wanasubiri ajichanganye kwenye kugombea uraisi watu washushe nondo hasa lile ile issue yake ya kupa............wa
Wazushi safari hii hamna tena kufanya
 
Back
Top Bottom