January Makamba hawezi kufanya propaganda mbele ya Rais Samia. Huu ni wakati wa vitendo, January chapa kazi

Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.

Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.

Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.

Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Achape Kazi apuuze makelele ya watu wanaomuona kama threat kwenye Urais baada ya mama
 
Ameshusha kuaminiwa.ila kwa kuwa chief hangaya analipa fadhila ndo maana karudi.
Huyo hakutakiwa kurudi hata kuwa mjumbe wa nyumba 10.
Ushamba ni kitu kibaya hovyo kuingilia mazungumzo ya watu yasiyo na maslah kwa taifa afu unapublish huu n uzumbukuku
 
Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.

Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.

Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.

Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Wachaaaaaaaaa.

Mbona kaingia tu tanesco katumbua kila mtu?
 
Hiyo mifuko ya plastiki aliiondoa baada ya kushinikwa za Rais kupitia waziri mkuu, yeye alikuwa ni propaganda za kukutana na wadau wa viwanda miaka nenda rudi

Mifuko ya plastic ni nguvu ya JPM, wananchi walikuwa wanamuogopa na kumlaumu JPM
Enzi zile kiongozi yoyote akitoa agizo Raia wanatekeleza!
Serikali ile ilikuwa imara!
Mimi ninayeandika ni mwalimu, nakumbuka kabla ya JPM tulikuwa tunawadharau waalimu wakuu, lakini huwezi amini, ndani ya utawala wa JPM sisi waalimu tuliwatii Sana waalimu wakuu

Sinario Kama hii ndio inayojitokeza huko tanesco, wafanyakazi wameacha uwajibikaji

Watu wengi walikuwa wanajua na tayari walishajionea madhara ya mifuko ya plastiki, hivyo Katazo lilipotoka ilikuwa rahisi watu kutii. Inawezekana kweli watu walikuwa wanamuogopa Magufuli, sio kwa uimara ila ni kutokana na roho mbaya yake na ulevi wa madaraka. Lakini ukweli unabaki kuwa mifuko ya plastiki ilikuwa kero ya dhahiri. Usishanganye uimara wa serikali na roho mbaya ya mkuu wa serikali.
 
Mifuko ya plastic nchi hii iliondolewa bila hata Mende kuguswa kitu ambacho mwendazake na serikali nzima hawakuamini. Wananchi wa Tanzania walistaajabu uwezo na akili yake na mikakati yake kufanikisha suala la mifuko bila kutumia polisi wala vyombo vingine vya Usalama. Kila moja anakumbuka wivu wa mwendazake kuwapelekea kumtoa kwenye cabinet hata hivyo hakulamba miguu.

Baada ya Rais Samia kushika madaraka na kufanya ministry audit alikua kugundua wizara ya nishat inamakando kando mengi ndio maana Waziri aliyekuwepo wakati wote alikua anatetemeka akikutana na Rais Samia.

Sasa kwa mtu makini kama Rais Samia na askari wake January Makamba watu wanaoamini katika utaalamu na suluhisho la uhakika wasingeweza kufanya mambo ya siasa kwenye mambo muhimu kama ya umeme. 5 Years hakuna maintenance, hakuna unategemea nini katika nchi kubwa kama hii.

Whether imeagizwa warekebishe mitambo ili kuzuia mitambo hio kuharibika au ni ishu ya maji kupungua bado sina mashaka na watu hawa.
Hakuna maintanance kakufanganya nani, ukweli ni kwamba kuna mgao , hakuna cha maintanance
 
Hiyo mifuko ya plastiki aliiondoa baada ya kushinikwa za Rais kupitia waziri mkuu, yeye alikuwa ni propaganda za kukutana na wadau wa viwanda miaka nenda rudi

Sio kweli utakua umehadisiwa
 
Mifuko ya plastic ni nguvu ya JPM, wananchi walikuwa wanamuogopa na kumlaumu JPM
Enzi zile kiongozi yoyote akitoa agizo Raia wanatekeleza!
Serikali ile ilikuwa imara!
Mimi ninayeandika ni mwalimu, nakumbuka kabla ya JPM tulikuwa tunawadharau waalimu wakuu, lakini huwezi amini, ndani ya utawala wa JPM sisi waalimu tuliwatii Sana waalimu wakuu

Sinario Kama hii ndio inayojitokeza huko tanesco, wafanyakazi wameacha uwajibikaji
Mwalimu scenario nayo unaiandika "sinario"..
Kwahiyo wewe suala la UTII ni mpaka Mheshimiwa Rais akufundishe?

Very interesting.
 
Mleta mada katandike kitanda kisha uuoshe vizuri bosi wako makamba anakuja kukufariji usiku wa leo.
 
Sio kweli utakua umehadisiwa
Makamba ana mengi watu wanayajua nje na ndani ya uongozi, usiombe siku ikafika watu wakafunguka. Nadhani wanasubiri ajichanganye kwenye kugombea uraisi watu washushe nondo hasa lile ile issue yake ya kupa............wa
 
We hujatumwa kumchafua
Niko kijijini huku siko hapo town. Umeme kipindi cha mwendazake ilikuwa ni nadra kukatika. Toka aingizwe huyu makambo tunaenda wiki ya 3 sasa. Imekuwa nchi moja ya ajabu. Umeme kila siku unakatwa saa 1 asubuhi. Wanarudisha saa 1 jioni.

Kwa hiyo mimi sijatumwa ila nafasi tu ya huyo aliekutuma ndio hiyo inajieleza kiutendaji. Na hii ni hujuma tu anaifanya huyo makambo wako
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom