January Makamba: Gridi Nzima ya Taifa kufumuliwa kwa Trilioni 1

Habari ndugu!

Waziri wa Nishati na Madini January Makamba amesema Serikali unatarajia kuanza mradi mkubwa wa kusuka na kufumua Gridi ya Taifa.

Mradi huo utakaojulikana kama Gridi Imara unatarajia kutumia shilingi Tilioni Moja na unatarajia kusainiwa February 15,2023 Ukiwa na lengo la kukomesha kukatika katika Kwa Umeme Nchini.

My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.👇

Kumwamini January inahitaji uwe na tatizo la afya ya akili, alipoingia alisema baada ya siku 20 hakutakuwa na tatizo sahivi miaka 2, Makamba ni mtu wa hovyo sn
 
Upigaji
Upigaji
Upigaji

Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet

Wapigaji watupu
Haya majangili yanabebwa na mfumo ovu
 
Serikali malizeni kwanza miradi ambayo tayari mmeianza. Bwawa la Nyerere bado mnaingia tena kwenye project nyingine itakayoligharimu taifa fedha nyingi,huku wananchi tukitaabika kwa njaa na watu wanakufa kwa kukosa dawa hospitali. Kuweni serious kidogo.
 
My Take,ngoja tuone kama kero ya kukatika katika Kwa umeme itaisha.[emoji116]

Haiwezi kuisha, labda isiwe Tanzania na iwe Nchi nyingine
 
Upigaji
Upigaji
Upigaji

Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet

Wapigaji watupu
Makamba siyo dogo ana umri wa miaka 50.

Kammoon you guys
 
Acha ujinga,hiyo takataka Yako ya jpm usiitaje mbele yangu Huwa namchukulia ni failure tuu kama alivyoiba PhD
Mbele yako? Kwani wewe nani. Kwa hiyo comment yako mbona wewe ndio unaoneka takataka🤣😂. Sijui hata unaelewa Phd zinatolewaje na vyuo vikuu. Nahisi huna hata degree ya kwanza🙄😆😆
 
Serikali malizeni kwanza miradi ambayo tayari mmeianza. Bwawa la Nyerere bado mnaingia tena kwenye project nyingine itakayoligharimu taifa fedha nyingi,huku wananchi tukitaabika kwa njaa na watu wanakufa kwa kukosa dawa hospitali. Kuweni serious kidogo.
Bwawa limeisha
 
Upigaji
Upigaji
Upigaji

Yani hawa madogo wanaitafuna hii nchi kama ya baba yao vile. Hata viongozi wanaowateua sijui vetting yao ikoje.. hawana maajabu ya kuwafanya wawepo kwenye cabinet

Wapigaji watupu
Si utuoneshe wewe kifanyike mbadala wa anavyofanya Makamba.

Usibaki kurusha madongo yasiyo na tija,
 
Uoneshwe kipi ambacho hukijui. Alikuwepo mtalaamu wa kitaaluma injinia kalemani hapo utendaji si ulionekana. Palikua na haja gani kumtoa mtaalamu kumuweka huyo kapuku ambaye fani aliyobobea ni kunyoa upara?
 
Hujaonyesha bado ?!!!

Sasa kukosoa kwako kunasaidia nini ?!!!

Mwisho wa hii comment yangu unaweza kulainika moyo ukaonesha mbadala wa aliyofanya mh.Makamba?!!!
 
Back
Top Bottom