GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mimi sijawahi kuwq mfausi hata wa chadema achana na huyo lisu ila jamaa kafanya ufisadi wa kutisha sana pale tanesco acha lile dili alilotaka kulicheza kipindi akiwa waziri wa mambo ya nje ataka wizara ijenge majengo ya bishara Nairobi Kinshasa na kampala
kupiga wanapiga ila sio b500
 
Sema tu January labda alionyesha nia mapema akawaudhi wenye kiti chao ila siasa za Tanzania hazihitaji plan ni kujikomba tu kwa viongozi fulani watakuachia madaraka. Samia alikua na plan gani? Is she an asset to CCM? ila mbona amekua Rais?
Huyo January ni upepo mbaya tu umempitia, ila haitashangaza akirejeshwa meza kuu
 
Huyo January ni upepo mbaya tu umempitia, ila haitashangaza akirejeshwa meza kuu
Kwa cv ipi aliyonayo ukitoa kuwa ni mtoto wa makamba kwana wasaka urais 2030 ndo watampoteza zaidi maana kwenye siasa ukiacha upendeleo aliokuwa akipendelewa na kikwete kama fadhila kwa babake hakuna anachoweza
 
Ulisema na kuapia kuwa hawezi kukatwa. Mara ukasema sijui hao ndio wana kazi maalum ya kuiba kura ,Mara sijui nini.

Vipi imekuwaje?
🤣🤣🤣 Mengine umenilisha mkuu siwezi tuhumu watu kwa wizi wa kura.

Inaonekana ulinihidhi. Umeshinda wewe bosss
 
Alitaka kuinunua hotel ya Leodger plaza Bahari beach hotel kwa bilioni 25, sema ilishindikana kwa sababu hotel ile inamilikiwa kwa kiasi fulani na serikali ya Libya.
Nikajiuliza January ana biashara zipi za kuweza kutoa cash bilioni 25?
 
hivi unadhani bilion 500 ni kama laki tano?

Hujui baada ya januari kupewa nishati na kuweka mtu wake mandondo kuwa ceo wa shirika, bwawa la umeme liliongezwa bei kwa zaidi ya trilioni moja na hela ikalipwa fasta. Wahuni wakagawana na mkandarasi hiyo trilioni ya malipo hewa
 
Yes, Riz1 he is far way smart kuliko JM.
Nawajua wote vizuri na wananijua pia.

ndani ya mitaa ya Khost - Afghanistan.
Sawa Mkuu,kama unawajua Mimi nisemaje sasa....hata wajingq 10 wakikusanywa lazima awepo smarter' miongoni mwao!
 
Yaani pamoja na Mama kumkumbatia siku ile,hakumjali tena?
Huenda akapewa ubarozi kumrithi Polepole.
 
Kwa Salma Kikwete kaachwa peke yake. Kwa Dotto Biteko ameachwa peke yake pia

Tanzania ya sasa chini ya uongozi wa huyu bibi ni ya kimafia sana na kuna watu wengine wamepewa status above haki za Watanzania wengine
huko watu hawakujitokeza ulitaka wafanyaje wakati jina ni moja lililochukua fomu
 
Back
Top Bottom