GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kuna kitu labda alimkosea JK

JK anatabia ukiwa boya boya anakubwaga kiroho safi, yeye anakuwa innocent kwako.
Amemkuza, amemlea, amemuinstall, its his time to walk by his foot maana JK alijisimika mwenyewe na kujenga ufalme wake.

JM sio smart aliishi kwa mbeleko za watu wa mipango, ujue hata watu wa mipango wanape nda kufanya kazi na mtu smart mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe bila kustukiwa kama ni mipangomipango.

Inawezekana pia kwenye pool yake JK he has a lot of smart dudes, sasa ni wakati wakudeal na wengine wenye uwezo labda wanaweza kumpa upper hand mwanaye Riz 1 ambaye kiakili na usmart yuko vizuri kuliko JM.

ndani ya khost-Afghanistan.
 
Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Hii ni vita ya Urais 2030?
Ilikuwa vita ya Urais mwaka huu?
Waligombana na Mama/watu wa karibu na Mama kwenye issues za utafunaji wa rasilimali za Taifa?
 
Jimbo la Chalinze

1) Ridhiwani Kikwete

Hakuna mwingine ni mmoja tu basi
Kwa Salma Kikwete kaachwa peke yake. Kwa Dotto Biteko ameachwa peke yake pia

Tanzania ya sasa chini ya uongozi wa huyu bibi ni ya kimafia sana na kuna watu wengine wamepewa status above haki za Watanzania wengine
 
Acha apumzike huyu kajilia sana kodi za wananchi kwa njia za udanganyifu
 
JK anatabia ukiwa boya boya anakubwaga kiroho safi, yeye anakuwa innocent kwako.
Amemkuza, amemlea, amemuinstall, its his time to walk by his foot maana JK alijisimika mwenyewe na kujenga ufalme wake.

JM sio smart aliishi kwa mbeleko za watu wa mipango, ujue hata watu wa mipango wanape nda kufanya kazi na mtu smart mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe bila kustukiwa kama ni mipangomipango.

Inawezekana pia kwenye pool yake JK he has a lot of smart dudes, sasa ni wakati wakudeal na wengine wenye uwezo labda wanaweza kumpa upper hand mwanaye Riz 1 ambaye kiakili na usmart yuko vizuri kuliko JM.

ndani ya khost-Afghanistan.
JM hana tatizo la kujisimamia. Tatizo liko kwenye ambitions zake kubwa.
 
Back
Top Bottom