JK anatabia ukiwa boya boya anakubwaga kiroho safi, yeye anakuwa innocent kwako.
Amemkuza, amemlea, amemuinstall, its his time to walk by his foot maana JK alijisimika mwenyewe na kujenga ufalme wake.
JM sio smart aliishi kwa mbeleko za watu wa mipango, ujue hata watu wa mipango wanape nda kufanya kazi na mtu smart mwenye uwezo wa kusimama mwenyewe bila kustukiwa kama ni mipangomipango.
Inawezekana pia kwenye pool yake JK he has a lot of smart dudes, sasa ni wakati wakudeal na wengine wenye uwezo labda wanaweza kumpa upper hand mwanaye Riz 1 ambaye kiakili na usmart yuko vizuri kuliko JM.
ndani ya khost-Afghanistan.