GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
JM hana tatizo la kujisimamia. Tatizo liko kwenye ambitions zake kubwa.

Ukishakuwa na ambitions kubwa halafu huna uwezo nazo maana yake ndio hiyo tunasema huna uwezo wa kujisimamia.

"A goal without a plan, it's just a wish"

JK alikuwa na goals zake, akaset plan ili kuzifikia goals zake akafanikiwa, sasa JM inawezekana ana goal ya kuwa Rais lakini hana plans, ndio inabaki kuwa wish..

Paul Makonda anaweza kuwa asset kwa sasa kwa CCM kuliko JM, na hilo hata magodfather wake wanajua.

ndani ya Khost-Afghanistan.
 
Nangu Nyau Paka wa ferry
 
huezi kufanya rushwa ya namna hii isijulikane, zingine mnampaka tu matope bure
Kwani ni kwa dili moja? Huyu jamaa alinunua nyumba palm island dubai na bei ya sokoni kwa wakati huo ilikuwa zaidi ya billion25
 
Kachota zaidi ya billion 500 kanunua nyumba za kutosha dubai huku nyumba moja ikiwa na thamani ya billion 25
Kwamba CCM inachukia ufisadi? Labda ungesema amechukua billion 500 bila kuwapa mafisadi wengine mgao. CCM haijawahi na haitowahi kumkata mtu eti kisa kaiba otherwise kamati kuu nzima ingekosa vigezo
 
Ukishakuwa na ambitions kubwa halafu huna uwezo nazo maana yake ndio hiyo tunasema huna uwezo wa kujisimamia.

"A goal without a plan, it's just a wish"

JK alikuwa na goals zake, akaset plan ili kuzifikia goals zake akafanikiwa, sasa JM inawezekana ana goal ya kuwa Rais lakini hana plans, ndio inabaki kuwa wish..

Paul Makonda anaweza kuwa asset kwa sasa kwa CCM kuliko JM, na hilo hata magodfather wake wanajua.

ndani ya Khost-Afghanistan.
Kwamba Makonda ana plan ama ni asset, hivi hiyo Makonda kuna Muarusha timamu anaweza mchagua? Ni sababu tu CCM itashinda ila ingekua miaka ile ya JK ambapo ubunge ulikua unaamuliwa na wananchi huyo Makonda angepotezwa na Lema mbali sana.

Sema tu January labda alionyesha nia mapema akawaudhi wenye kiti chao ila siasa za Tanzania hazihitaji plan ni kujikomba tu kwa viongozi fulani watakuachia madaraka. Samia alikua na plan gani? Is she an asset to CCM? ila mbona amekua Rais?
 
Back
Top Bottom