January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Mbona hiyo document / email message inasomeka vizuri pale mwanzo/juu na iko imefifia huku mwishoni/chini; au ndiyo uchakachuaji umeanza??? Tigo Pesa ebu ibandike tena vizuri, tunashindwa kusoma ati.
 
Tunaomba mtusaidie sisi tunaotumia simu. Waraka hausomeki.
 
Kwani kuna tatizo kwa mtu kuchangiwa fedha za kampeni mbona wengine mlichangia kwa sms na njia nyingine kibao
 
Kwani kuna tatizo kwa mtu kuchangiwa fedha za kampeni mbona wengine mlichangia kwa sms na njia nyingine kibao
sheria ya uchaguzi inasemaje wewe mzandiki??

Unahangaika sana kutetea jamaa wakuweke mjini..... Kumbuka Mwaamy amezungumzia January kuwa right hand and trusted man wa Rais, wametajwa wabunge na mwanamke anaaza na kuwa mikononi mwa mtu na kutamani sana waonane tena kwani saa inakua kama mwaka??? umeshawahi ona dokezo la kikazi linasema hivyo??

Take time kusoma governance na pia usome taratibu za accountability ujue unachoongea

sio kila kiatu utalamba tu
 
Mkuu kama huoni tatizo kwenye Huo Waraka Basi Gamba litakuwa Magotini ha ha ha
we humjui huyo bado ana-hope ??

dont tell me hujui yupo kufuta viatu vya nani............ nenda wanabidi! utajua vyema
 
Nadhani in this day and age email peke yake inaweza ikawa hacked au kuchakachuliwa (hata kama ni ukweli) hii sio evidence labda iwe attached na funds zilizoingia na zilipotoka.., otherwise ni vigumu hii kitu ku-hold water...
 
Kwani kuna tatizo kwa mtu kuchangiwa fedha za kampeni mbona wengine mlichangia kwa sms na njia nyingine kibao
Tatizo ni investment kwenye hiyo michango kwa mtu aliyetazamiwa kuwa waziri wa madini. Sio vibaya ukimtumia dada yako kupata michango
 
Jamani mi mbona siwezi kuyasoma mandishi ebu mwenye skill yakuweza kufanya mambo hapa aonyeshe uwezo
 
i have read that message and i'm shocked how dare them? Dont they know that their communication can be hijacked or is this the way things are run in ruling party? Something must be done perhaps to overthrow this government it has lost its legitimacy to lead this country.
 
Kwani kuna tatizo kwa mtu kuchangiwa fedha za kampeni mbona wengine mlichangia kwa sms na njia nyingine kibao

Wala hakuna tatizo, isipokuwa fuatilia email hiyo kuhusu shukrani itakayotolewa na shemeji mtu baada ya kuwa "waziri". Inazungumzia utafunaji wa utajiri wetu kwa manufaa ya wachache. Kwa ujumla ni hatari tupu.
 
Nadhani in this day and age email peke yake inaweza ikawa hacked au kuchakachuliwa (hata kama ni ukweli) hii sio evidence labda iwe attached na funds zilizoingia na zilipotoka.., otherwise ni vigumu hii kitu ku-hold water...

Hata ile ya EPA Sitta alimkejeli Slaa kuwa alitumia ushahidi wa kuokoteza kwenye Internet. Kilchofuata ni historia, hivyo vuta subira.
 
Back
Top Bottom