January Makamba alifadhiliwa na Barrick kuingia bungeni?

Kuna tatizo gani hapo?
heeeeeeeeeeeeeeey handsome.... in your arms, mnh!! sweet, money, brother, future, minister

puff

accountability is still a challenge...

Nakumbuka Hillary was cornered simply because Billy was receiving money for the Clinton foundation

Lets get back to basics in our accountability chapter..... we are supposed to declare conflicts of interest, did they?
 
A COUNTRY OF STUPID PEOPLE WHO MANAGED TO BE AT THE TOP OG THE GOVERNMENT.

Hii ndo hatari tuliyo nayo kwamba unapokusanya watu walio hovyo kichwani, wanasambaza uozo nchi nzima na wanashika madaraka!
 
hii michongo ya kawaida kwenhye demokrasia zetu changa hizi, hivi ile minimum campaign contribution hawa mafisadi waliiua kule bungeni? hii ina maana watakua wanashinda wenyewe tu nafasi za uongozi namna hii, yaani wanacement haka kaelite status kao kwa vizazi vyao vingi vijavyo..
 
Mbona huyo aliyeandikiwa imechakachuliwa ni vema waka Muweka hapa tukamjua shemeji yetu nmi nani ilituweze kuchangia tukiwa huru.
 
Kuuza uchi wa dada pamoja na ahadi ya kutoa madini ya nchi kwa ajili ya michango ya uchaguzi, au wewe huoni tatizo hapo.

Hayo hayapo kwenye hiyo email.. ni mawazo yako

Kutumia Mbunye Kuweka Rehani Nchi, Kutumia Mbunye kutafutia wezi audience na Rais? Huoni Tatizo?

MMhm... Hii ni zaidi ya chuki binafsi

heeeeeeeeeeeeeeey handsome.... in your arms, mnh!! sweet, money, brother, future, minister

puff

accountability is still a challenge...

Nakumbuka Hillary was cornered simply because Billy was receiving money for the Clinton foundation

Lets get back to basics in our accountability chapter..... we are supposed to declare conflicts of interest, did they?

You got a ground on that highlighted part...
 
Duuuh, hii nchi imekwisha, na sisi tuliozaliwa wanaume watupu tupate wapi K ya kuuza tupate midolari ya kugombea ubunge/uongozi? Shame on you January, jiuzulu upesi
 
nchi ya kitu kidogo,
kila siku kuna mpya inatoka ila hii ya dada kukandamizwa ili kuwa mbunge ni kali ya karne this is here to stay, makambas wameweka record mpya
again
 
Shocking... just shocking. Kama Tanzania ingekuwa ni nchi yenye kufuata misingi ya utawala bora kama huko kwa wenzetu basi sasa hivi tungekuwa tunaongelea safari za Keko. 'Investing in your future minister of Minerals? Dividends za hii investment ni nini?

Kuhusu meeting kati ya watu wakubwa na rais pamoja na viongozi wengine wa juu hapa tunapata uthibitisho. Kila leo rais amekuwa anatembelewa na viongozi wa vodacom na tunajuwa vodacom wenye customers 10 million wanalipa kodi ndogo kuliko Airtel wenye customers 5 million!
 
Sitaiamini hadi iwekwe na mail ya mtumiwaji ili tuwe na hakika

kuna lipi una amini katika maisha yako? yakwamba ccm sio majangiri na tigo zimetumika kupata wabunge?
raisi naye katazwa hapo sasa unashindwa kuamini nini? sio huyu aliyeuza mbuga kwa kununuliwa suti tano london
 
You got a ground on that highlighted part...
You like spinning arent you??

well i like provocations... it takes people outside the box, and a little bit of povu... it destabilizes by creating anger and rage, and then everyone becomes honest
 
Back
Top Bottom