Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,397
- 7,979
Roho inamuuma anapoona wenzie wanavyokula kaona heri aingie mitini akajililie kimyakimyaNaona FF Kachungulia kasepa dah
Roho inamuuma anapoona wenzie wanavyokula kaona heri aingie mitini akajililie kimyakimyaNaona FF Kachungulia kasepa dah
she is consulting and i am sure she will be back, even strong na mwisho anamializia "wanchekesha" - to be honest, i like her style alotNaona FF Kachungulia kasepa dah
Unafikiri huyo aliyechangia hizo dola ni msambaa? :lol:
we humjui huyo bado ana-hope ??
dont tell me hujui yupo kufuta viatu vya nani............ nenda wanabidi! utajua vyema
Lakini huyu dogo si alipita bila kupingwa jamani au huu Mchuzi ndio ameutumia Kupita bila Kupingwa
Ila ana Moyo kudadadeki ya Dadaangu auze K ili mimi niwe Mbunge? LoL bure nife na umaskini wangu
title inasema barrickTigopesa..
Naomba sana sana sana kama una email ya mwandikiwa unitumie hata kwa PM. Au kama kuna mwana JF yeyote aliyenayo naiomba. Ni muhumu sana sana sana kwa ukombozi wa nchi yetu.
He really needs the help... this is investment, remember...lol. You must do that for me baby, remember you are investing in your future minister of MINERALS and brother in law...
jamaa ni mnafiki sana... i dont like his way and i usually try to avoid him whenever i can but it is not possibleNaona jamaa kairusha kule kimtindo
Kuhusu Nyaraka za siri Binafsi au Serikali - Wanabidii | Google Groups
Hata ile ya EPA Sitta alimkejeli Slaa kuwa alitumia ushahidi wa kuokoteza kwenye Internet. Kilchofuata ni historia, hivyo vuta subira.
No waay! Are you serious?Is this true? Ngoja kwanza niisome tena.
Kuuza uchi wa dada pamoja na ahadi ya kutoa madini ya nchi kwa ajili ya michango ya uchaguzi, au wewe huoni tatizo hapo.Kuna tatizo gani hapo?