January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

Unachekesha kweli!!! Wewe unayemtetea Lowasa sio CCM? Au kwa kuwa anataka kuhama kambi.

Hoja hapa ww unampinga Makamba kwa kumsema Kingunge....na unafanya hivyo kwa kusema hana sifa za kumzidi Lowasa.

Mimi nkakuambia weka facts kuthibitisha makamba hana sifa....badala ya kujibu unazunguka zunguka....

Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na hajawah kuthibitisha otherwise.

Unless you want to continue arguing by putting forward facts otherwise I'll describe you as i did previously, that ur too low

Narudia tena,kunihusiasha na kuitetea ccm basi nakushauri tafuta tochi uitumie wakati wa kucheza ngoma wakati wa usiku kwani utakuja kucheza ngoma ya vibwengo
 
Narudia tena,kunihusiasha na kuitetea ccm basi nakushauri tafuta tochi uitumie wakati wa kucheza ngoma wakati wa usiku kwani utakuja kucheza ngoma ya vibwengo

If that the case.....stop supporting Kingunge and his counterparts.....kwa sababu rafu huko CCM miaka yote zimekua zikipigwa.....na wameendelea hivyo
 
If that the case.....stop supporting Kingunge and his counterparts.....kwa sababu rafu huko CCM miaka yote zimekua zikipigwa.....na wameendelea hivyo

Ndio maana nakwambia chukua tochi uitumie badala ya kubakia gizani
 
Kweli tupu,hata jana kwenye kipima joto yule mchambuzi maarufu mkereketwa wa ccm benson bana alikubali kuwa kingunge yupu sahihi na ana hoja ya msingi

Wanachama, wapenzi na mashabiki wa CCM inabidi wampongeze Kingunge kwa kuwa na audacity ya kuanika ukiukwaji wa katiba, kanuni na taratibu za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa Urais na sio kumkejeli, kumkashifu na kumponda..ili CCM wajirekebishe...
 
Yaani wewe bure kabisa....unafikiri sijui which side ar you supporting? Hoja hapa hata kama upo CDM y unamtetea Lowasa na kingunge na kumkandamiza January?

Huo ubure wangu husikufanye ubakie ndani ya box
 
Mie nadhani makamba kaongea sahihi. Maamuzi ya kamati yaheshimiwe. Coz hata huyo Kingunge akipiga kelele hawezi kusikilizwa tena
Hapa ndipo huwa nawapendea ccm.
Kwamba muswada nyeti unapitishwa bungeni kinyume cha sheria na wabunge 80 kati ya 350+ na rais anatamka wazi wazi kuwa ukiletwa wakati wowote anasign tu, asiyetaka ajinyonge! ..au 'afanye anachotaka'.
Hata Horace Kolimba (R.I.P) walikataa kumsikiliza kama wanavyomkatalia Mzee Kingunge na sasa mnaona chama kilipofika!
 
Wanachama, wapenzi na mashabiki wa CCM inabidi wampongeze Kingunge kwa kuwa na audacity ya kuanika ukiukwaji wa katiba, kanuni na taratibu za chama kwenye mchakato wa kumpata mgombea wa Urais na sio kumkejeli, kumkashifu na kumponda..ili CCM wajirekebishe...

Mkuu hilo kwa ccm hawawezi kulipokea kwani wao wanajiona kama makaika
 
Hapa ndipo huwa nawapendea ccm.
Kwamba muswada nyeti unapitishwa bungeni kinyume cha sheria na wabunge 80 kati ya 350+ na rais anatamka wazi wazi kuwa ukiletwa wakati wowote anasign tu, asiyetaka ajinyonge! ..au 'afanye anachotaka'.
Hata Horace Kolimba (R.I.P) walikataa kumsikiliza kama wanavyomkatalia Mzee Kingunge na sasa mnaona chama kilipofika!

Hakuna ubishi kuwa sasa ccm imejitafutia njia ya kuelekea machinjioni
 
Asante sana mkuu kwa kunihukumu,ila narudia kukuonya tena kuwa mimi kuwa too low,husiendelee kubaki ndani ya box

Wamawia ndo hupenda kutumia "h" badala ya "u"...?

Husiendelee= Usindelee

Ninachoona wewe ndio unafikiri ndani ya box and not outside...
 
Lete facts kwa nini unasema hafai.....Rejea taarifa ya Msekwa kuhusu kanuni mpya zitumikazo nowdays ambazo kingunge is not familiar with

Hiyo jeuri ya kumuona kingunge yupo nje ya system unaipata wapi wewe? Kingunge anaijua system ya ccm mara 1000 kuliko huyu January wako unaye mfia kwa malipo ya buku 7000- pole sana kijana ulivyotegemea haikuwa katafute kazi mahali penge vinginevyo kafanye kazi za nyumbani kwake huyo January.
 
Nyie mliotegemea Lowasa atakuwa president....imekula kwenu labda mumpokee kwenu huko CDM......

Kingunge ataishia kulalama tu....wenzake waliokua wanamsapoti chamani wote wako busy na ubunge na udiwani.....

Katafute kazi nyingine mkuu lakini si kumsapoti kingunge na Lowasa.....laa utaishia kutokwa povu kila siku JF
 
Back
Top Bottom