January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

Hili lina-confirm kauli zangu za nyuma kuhusu January. Amezoea Kubwebwa!hivyo lazima atetee mchakato uliotumika kumbeba magufuli. NI kipofu tu ndio anaweza sema Magufuli hajabebwa. Binafsi Sina tatizo kubwa sana na Magufuli, lakini kutamka kuwa mchakato wa kumfikisha pale alipo ulikuwa sahihi, basi huyu Makamba amedhihirisha kuwa Uamuzi wa watu wa Bumbuli kumuweka pembeni 2015 ni wasahihi kabisa(YES, i said it here, huyu bwana mdogo, kupenya ubunge 2015 ni hadithi nzito, kwani, fitna alizotumia kupita bila kupingwa 2010,haziwezi fanya kazi 2015. Asiposhindwa ndani ya CCM, basi UKAWA watachukua jimbo mapema sana, kwani wagosi wamemchoka). Naona Plan B yake, imekuwa Makonda, Nape style, ya kupayuka na kuwa lapdog wa wakubwa, huku akijipendekeza kwa Magufuli, ili afikiriwe hata ubunge wa viti maalum, baada ya kutolewa mbio Bumbuli.

Makamba, najua timu yako inasoma hapa,It's now hightime for once in your life to stand by yourself, It's a shame a 40+ chap, still has to depend of favours and backup from his parent just as you have for your entire life.

Your father can't push for you forever, and your godfather (JK) is fast approaching retirement..,Stand on your own and actually EARN something. This spoonfeeding has to stop. You know you did not deserve to be Bumbuli MP, you know you did not deserve to be in the top 5 ahead of the likes of Mwandosya, Mahiga or even Mwigulu(who despite receiving absolutely minimum political help,has achieved way more than you).

STAND ON YOUR OWN, LIKE A REAL MAN.

Mgosi taatibu taatibu, mbwanga ana watumba wengi.

Anapenda kudeka huyo akidhani yeye ni mtu mtanashati saana.
 
Hiyo jeuri ya kumuona kingunge yupo nje ya system unaipata wapi wewe? Kingunge anaijua system ya ccm mara 1000 kuliko huyu January wako unaye mfia kwa malipo ya buku 7000- pole sana kijana ulivyotegemea haikuwa katafute kazi mahali penge vinginevyo kafanye kazi za nyumbani kwake huyo January.

Mkuu, je ni kwanini mzee Kingunge pamoja na kuwa mwanachama wa kudumu wa CCM, tena yeye na mzee Pius Msekwa hawajashirikishwa kwenye CC ya CCM?

CC ingekuwa ni timu khasa ya wazee ambao wanatoka pande zote za utawala wa nchi hii hata wakiwa 10 au 15 inatosha.

Nimeuliza hivyo nilikangalia sababu kwamba eti inaundwa na maraisi walopita tu hii ni sawa kweli?

Naomba mawazo yako hapa.
 
..tatizo ni lowassa.

..wenzake walijua kwamba amewekeza nguvu na rasilimali zote kwenye ccm.

..angekuwa ana plan b(chama mbadala) na ikajulikana kwamba anayo, ccm wangefiria mara 2 jinsi ya kukata jina lake, na uwezekano mkubwa angepitishwa.

..tatizo lingine ni kujikunyata na kuacha wengine wamsemee. Sasa inaonekana kama kingunge na nchimbi wanautaka uraisi wa lowasda kulilo lowassa mwenyewe.

Cc Selemani, Kimweri, Richard
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kwa tawala nyingi za afrika kitu kulindana ni jadi,ccm walishajua kuwa akipita lowasa kuingia 5 bora hiyo ndio inge kuwa moja kwa moja kushika kijiti,na kwa kashfa zilizotokea ndani ya serikali anajua kila kitu na wahusika hivyo angekuwa mwiba kwa ustawi wao kwani lowasa ni mtendaji mwenye uthubutu bila kuogopa,hivyo marais wastaafu walikuwa na kazi moja kuhakikisha usalama wao
 
..tatizo ni lowassa.

..wenzake walijua kwamba amewekeza nguvu na rasilimali zote kwenye ccm.

..angekuwa ana plan b(chama mbadala) na ikajulikana kwamba anayo, ccm wangefiria mara 2 jinsi ya kukata jina lake, na uwezekano mkubwa angepitishwa.

..tatizo lingine ni kujikunyata na kuacha wengine wamsemee. Sasa inaonekana kama kingunge na nchimbi wanautaka uraisi wa lowasda kulilo lowassa mwenyewe.

Cc Selemani, Kimweri, Richard

Mkuu Jokakuu,

System aloijenga Mwalimu nafikiri bado inafanya kazi yake ukiangalia kwa makini idara ya Usalama.

Kama alivyosema mmoja wa members hapa kwamba infiltration kwenye any obstacle to pregress ndio mbinu kuu kabisa ya idara yoyote ile ya ujasusi.

Sasa Lowasa tangu akiwa kule AICC alikuwa tayari ana file Ikulu na nafikiri sasa hilo file liko karibu kufungwa.

System inafahamu kila kitu kuhusu jamaa na imekuwa piece of cake kusambaratisha na hata kumfanya asiwe na plan B.
 
..uko sahihi.

..but tayari kulikuwa na fununu za jina la lowassa kukatwa. Hivyo there was no ELEMENT OF SURPRISE.

..kwa hiyo Lowassa alitakiwa tayari awe na plan b, na awe ameshawaandaa wafuasi wake kwa plan A and plan B(kuhama chama).
 
Huyo janyary anavimba kichwa eee ksa kikwete alimpeleka tano bora!!!!!!!!
ni maajabu et january tano bora mwakyembe no?????et migiro tano bora mwandosya no????..et membe tano bora lowasa no?????
 
Kingunge yuko sawa kwa kulalamikia utaratibu haukufuatwa, kwa maneno ya Makamba tutegemee ccm na kuendelea kutofuata taratibu hata watakaposhinda uchaguzi

vijana wa ccm kukosea adabu waanzilishi wa chama chao hawakuanza leo. na haya hayakuanza leo, ni tabia endelevu inayojengwa ndani ya ccm na sitoona ajabu baba zao pia wakitovukiwa adabu na vijana wa wenzao.
 
Mkuu Jokakuu,

System aloijenga Mwalimu nafikiri bado inafanya kazi yake ukiangalia kwa makini idara ya Usalama.

Kama alivyosema mmoja wa members hapa kwamba infiltration kwenye any obstacle to pregress ndio mbinu kuu kabisa ya idara yoyote ile ya ujasusi.

Sasa Lowasa tangu akiwa kule AICC alikuwa tayari ana file Ikulu na nafikiri sasa hilo file liko karibu kufungwa.

System inafahamu kila kitu kuhusu jamaa na imekuwa piece of cake kusambaratisha na hata kumfanya asiwe na plan B.
Ah bana. Kama alikuwa na file chafu mbona kina Mkapa na Kikwete walimpa madaraka mazito? Utakuwaje na file chafu uwe PM? Balaa la Lowasa lilianzia kwa Mwalimu! Enzi zile kabla azimio la arusha halijachakachuliwa, mtanzania mfanyakazi wa serekali hakuruhusiwa kuwa hata na nyumba ya ghorofa! Lowassa kuwa na nyumba kule msasani kulimtibua Mwalimu akaanza wimbo wa fisadi fisadi. Lol aliona mengi baada ya hapo!! Tumpe haki yake kama kweli kuna credible allegetaions kwa huyu bwana wangeshamtundika siku nyingi. Ninachokiona ni chuki tu binafsi na majungu
 
Hivi ni nani alimtuma Lowassa agawe pesa kama kichaa vile ama alijua chama kinamtafuta bill gate wake?
 
Naona Bwana Makamba umekuja kunijibu mwenyewe.I know this ID a while back, so am pretty sure whevenver i reply to this ID, i am talking to January himself.

Sijasema Januari haukuwa na Dira,Dira ni kitu chepesi sana kuwa nacho, anyone in your position could solicit a few well placed opinions to construct a vision.
Timu yako nzima ilifanya vizuri kwenye mchakato wa kutangaza nia, etc etc, you invested a lot in PR, ukasahau kuwa uongozi sio PR.Kama walikuweka top 5 kwa kuwa ulikuwa na PR nzuri, labda, lakini kila mtu anajua kwa nini uliwekwa pale, you were a double edged pawn. elevating you to a higher status while making sure there was a lightweight complimentary candidate that will simplify voting.

Kwa hiyo kutoa speech nzuri ndio kigezo cha kuingia top 5?someone please get magufuli outta there.,last time i checked hakusema chochote, zaidi ya kusema atafuata ilani, does it make you January a better candidate than Magufuli, obviously NOT.

Accept ukweli kuwa wazee wamejitahidi kukubeba, shida yangu na wewe, ni kutobebeka. political capital iliyotumika kwako, you were supposed to do much more than what you have done.

Kuhusu Ilani ya CCM, wewe utakuwa JUHA wa kwanza kujisifia utendaji kwa ubora wa mipango, umesahau kuwa hata jamaa zako CCM walikuwa na mipango ya maisha bora kwa kila mtanzania?kimeishia wapi?

Mwisho kabisa, hakuna la maana ulilofanya BUMBULI,na nina imani hawarudii kosa la kumuonea aibu mzee Makamba,wala ukiwa naibu waziri, zaidi ya kuboronga kila kukicha, upuuzi wenu wa cybercrime, na simcard tax, ulidhihirisha ni jinsi gani ulikuwa waste of space for such a young fella.
Kwanza nikurekebishe. Huongei na January.

Pili, hakuna haja ya kuendelea na huu mjadala tena, maana unaonekana una persona issues na JM. Kinachonipa faraja ni kwamba he is relevant enough kwa wewe kumfuatilia kiasi cha kujua kila move anayofanya.

Shida ya watu humu ndani hamjui siasa. Ntafutie mwana CCM hata mmoja anayemsikiliza Kingunge na mimi ntakuonyesha Rais Lowassa.

Narudia tena. Huongei na JM hapa kama unavyodhani. Ila kama humpendi JM jiandae kisaikolojia kuumia roho tu.
 
Sina personal issues na January, hunijui personally, sikujui personally.

JF iko kutoa miongozo myepesi kama hii kwa nyie wanasiasa uchwara mliozoea kubebwa mkidhania ndio way to go kila sehemu. Uporoto wenu wa CCM ni the end justifies the means.hata angechinjwa mtu Dodoma ili kupata Mgombea, nyie mngepiga makofi tu na kushangilia fikra za mwenyekiti. You are prisoners in your own little world, where I*diots tells f*ols where to go.

Siasa zenu za hovyo CCM ndio zimefikisha taifa hapa, hivyo sihitaji kuzijua hizo siasa zenu za kipuuzi. Mabaya ya Kingunge yanafahamika,lakini huwezi kubishana naye akisema taratibu hazijafuatwa. Wewe makamba huna jeuri ya kumbishia JK, wakati amekubeba toka kukupa kazi ikulu. kukupigia chapuo ubunge wako wa viti maalum Bumbuli, hadi kukufanya Decoy kwenye top 5. You will forever be on his political debt. Hizi soundbite za sasa hivi ni pay back tu, hakuna jipya. Ulishauza soul yako kwa devil, now its time for repayment.

Sipendi aina ya siasa zinazofanywa na Januari na watu wa aina yake.kutwa kuhadaa watu kwa maneno mengi bila vitendo, uongozi sio PR peke yake, bali ni UWEZO wa kutekeleza yale unayoyaongea. Tungekuwa tunachagua PR, basi Wema Sepetu, Diamond Platnumz etc wote wangekuwa wabunge wetu na mawaziri, kwani wana PR nzuri tu.

Uwezo wako unafahamika, umepewa 10+ years kuprove watu wrong, and guess what you have confirmed everyones opinion of how incapable you are, you have under-performed at every damn point ukipewa majukumu, wewe nguvu zako za soda zinaishia kwenye kubwabwaja tu.

Give us a 10 bullet point of thing you have achieved, not shit you have started that went no where as a leader for the past 10 years.If that bullet point gets to 5, I will torn down my soundbites and give you a chance.
Usilete hadithi za nilichaguliwa kuwa flani, au niliteuliwa kuwa flani, those are not achievements, they are favours,sema umefanya nini kilichokamilika..,(sitegemei ujibu hili,kwani majibu hakuna)
 
Naona wazee wa misifa mnapambana wenyewe kwa wenyewe...

Sifa kuubwa lkn matendo sifuri

January Hajafanya lolote Bumbuli japokua amekazana sana kujenga jina nje vivyo hivyo Zitto hajafanya chochote Kigoma kaskazini though kajitutumua sana tafuta jina.....

Misifa misifa misifa tuuu hovyo kabisa!!!
 
Bila kumtaja Zitto huna raha
 
..Januari alisema wazee ni watu wenye jana nyingi na kesho kidogo.

..nadhani Mzee Kingunge yeye atakuwa na juzi nyingi na kesho kidogo!!

..mimi nadhani Januari angeuchuna tu kuliko kuanzisha malumbano na Mzee Kingunge.

..wanaotakiwa kumjibu Mzee Kingunge ni watu kkama Mzee Mangula(ana juzi nyingi), Mzee Kinana, na wajumbe wengine wa kamati ya maadili ya ccm.
 
Sina personal issues na January, hunijui personally, sikujui personally.

JF iko kutoa miongozo myepesi kama hii kwa nyie wanasiasa uchwara mliozoea kubebwa mkidhania ndio way to go kila sehemu. Uporoto wenu wa CCM ni the end justifies the means.hata angechinjwa mtu Dodoma ili kupata Mgombea, nyie mngepiga makofi tu na kushangilia fikra za mwenyekiti. You are prisoners in your own little world, where I*diots tells f*ols where to go.

Siasa zenu za hovyo CCM ndio zimefikisha taifa hapa, hivyo sihitaji kuzijua hizo siasa zenu za kipuuzi. Mabaya ya Kingunge yanafahamika,lakini huwezi kubishana naye akisema taratibu hazijafuatwa. Wewe makamba huna jeuri ya kumbishia JK, wakati amekubeba toka kukupa kazi ikulu. kukupigia chapuo ubunge wako wa viti maalum Bumbuli, hadi kukufanya Decoy kwenye top 5. You will forever be on his political debt. Hizi soundbite za sasa hivi ni pay back tu, hakuna jipya. Ulishauza soul yako kwa devil, now its time for repayment.

Sipendi aina ya siasa zinazofanywa na Januari na watu wa aina yake.kutwa kuhadaa watu kwa maneno mengi bila vitendo, uongozi sio PR peke yake, bali ni UWEZO wa kutekeleza yale unayoyaongea. Tungekuwa tunachagua PR, basi Wema Sepetu, Diamond Platnumz etc wote wangekuwa wabunge wetu na mawaziri, kwani wana PR nzuri tu.

Uwezo wako unafahamika, umepewa 10+ years kuprove watu wrong, and guess what you have confirmed everyones opinion of how incapable you are, you have under-performed at every damn point ukipewa majukumu, wewe nguvu zako za soda zinaishia kwenye kubwabwaja tu.

Give us a 10 bullet point of thing you have achieved, not shit you have started that went no where as a leader for the past 10 years.If that bullet point gets to 5, I will torn down my soundbites and give you a chance.
Usilete hadithi za nilichaguliwa kuwa flani, au niliteuliwa kuwa flani, those are not achievements, they are favours,sema umefanya nini kilichokamilika..,(sitegemei ujibu hili,kwani majibu hakuna)

Kula malimao tu mgosi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom