January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

..Januari alisema wazee ni watu wenye jana nyingi na kesho kidogo.

..nadhani Mzee Kingunge yeye atakuwa na juzi nyingi na kesho kidogo!!

..mimi nadhani Januari angeuchuna tu kuliko kuanzisha malumbano na Mzee Kingunge.

..wanaotakiwa kumjibu Mzee Kingunge ni watu kkama Mzee Mangula(ana juzi nyingi), Mzee Kinana, na wajumbe wengine wa kamati ya maadili ya ccm.

Mkuu tatizo ni makada wanajua kwamba Kingunge anatetea tumbo lake halafu wanaogopa kumsema. Naona JM kumwambia ukweli ni sawa tu.
 
Sina personal issues na January, hunijui personally, sikujui personally.

JF iko kutoa miongozo myepesi kama hii kwa nyie wanasiasa uchwara mliozoea kubebwa mkidhania ndio way to go kila sehemu. Uporoto wenu wa CCM ni the end justifies the means.hata angechinjwa mtu Dodoma ili kupata Mgombea, nyie mngepiga makofi tu na kushangilia fikra za mwenyekiti. You are prisoners in your own little world, where I*diots tells f*ols where to go.

Siasa zenu za hovyo CCM ndio zimefikisha taifa hapa, hivyo sihitaji kuzijua hizo siasa zenu za kipuuzi. Mabaya ya Kingunge yanafahamika,lakini huwezi kubishana naye akisema taratibu hazijafuatwa. Wewe makamba huna jeuri ya kumbishia JK, wakati amekubeba toka kukupa kazi ikulu. kukupigia chapuo ubunge wako wa viti maalum Bumbuli, hadi kukufanya Decoy kwenye top 5. You will forever be on his political debt. Hizi soundbite za sasa hivi ni pay back tu, hakuna jipya. Ulishauza soul yako kwa devil, now its time for repayment.

Sipendi aina ya siasa zinazofanywa na Januari na watu wa aina yake.kutwa kuhadaa watu kwa maneno mengi bila vitendo, uongozi sio PR peke yake, bali ni UWEZO wa kutekeleza yale unayoyaongea. Tungekuwa tunachagua PR, basi Wema Sepetu, Diamond Platnumz etc wote wangekuwa wabunge wetu na mawaziri, kwani wana PR nzuri tu.

Uwezo wako unafahamika, umepewa 10+ years kuprove watu wrong, and guess what you have confirmed everyones opinion of how incapable you are, you have under-performed at every damn point ukipewa majukumu, wewe nguvu zako za soda zinaishia kwenye kubwabwaja tu.

Give us a 10 bullet point of thing you have achieved, not shit you have started that went no where as a leader for the past 10 years.If that bullet point gets to 5, I will torn down my soundbites and give you a chance.
Usilete hadithi za nilichaguliwa kuwa flani, au niliteuliwa kuwa flani, those are not achievements, they are favours,sema umefanya nini kilichokamilika..,(sitegemei ujibu hili,kwani majibu hakuna)

Kimweri, narudia hauzingumzi na JM. Kama kitu kidogo kama hicho umeingia chaka, napata shaka na uwezo wako wa kung'amua ipi moja ipi mbili.

Pili, nikutakie kila kheri kwenye kumwaga cheche mitandaoni. Sisi wadau wa www.tanzaniampya.com tuacheni na mgombea wetu mwenye uwezo mdogo. Hizo bullet point unazozitaka its not even worth it kukuandikia. Endelea tu na 'opinion' zako.

Tuombe uzima, muda huwa haungopi.
 
Usikasirike Januari, ndio siasa hizo.

Usilete hadithi za nilichaguliwa kuwa flani, au niliteuliwa kuwa flani, those are not achievements, they are favours,sema umefanya nini kilichokamilika..,(sitegemei ujibu hili,kwani majibu hakuna)

Apparently i was right...,

Mheshimiwa siasa zako nazijua vizuri, huna uwezo wa kufanya vitu unavyobwabwaja kwenye majukwaa.na ukijaribu kufanya vichache, huishia kuboronga..,
 
Mkuu tatizo ni makada wanajua kwamba Kingunge anatetea tumbo lake halafu wanaogopa kumsema. Naona JM kumwambia ukweli ni sawa tu.

..mkuu Sele labda nikutoe nje kidogo ya mjadala.

..hivi makada wote 38 walikuwa na lengo la kugombea uraisi kweli, au ndiyo hadithi ya msafara wa mamba...??

..vilevile nadhani kuna uoga fulani miongoni mwa waliokatwa majina.

..nadhani wako wengi zaidi wenye shauku ya kusema haya anayoyasema Mzee Kingunge lakini hawana ujasiri.

..kitendo cha watu kuwa so submissive to ccm kinanitia mashaka sana kuhusu nchi yetu.

..YES, ccm wamemaliza mkutano wakiwa wamoja. But there was something missing. Huo umoja hauonekani kama ni "tunda" la mjadala na taratibu zilizofuata katiba ya ccm. Inaonekana kama kulifanyika MAZINGAOMBWE fulani.
 
Mkuu,
Mchakato wa CCM kupata mgombea siku zote huwa na 'mizengwe'. Ukifuatilia historia, hakuna Rais aliyeweza kuchagua mgombea wake. Nyerere 85 alimtaka Salim, Mwinyi akaokota dodo. Na leo hii nadhani JK alimtaka Camilius, Magufuli akaokota dodo. Regardless of the process ninavyoona Magufuli ni mgombea bora kabisa katika wote waliotangaza nia, ingawa mimi binafsi namkubali sana Makamba lakini maridhiano yamekuwa marahisi sana with Magufuli. Na theory ya kuwa aliandaliwa mapema inaweza kuwa ina mashiko. Mjadala wa mazingaombwe unaletwa na watu wa Lowassa ambao waliwekeza sana, wakasahu ukweli kwamba mgombea wao alikuwa mbovu na mwenye matope kibao.

Katika wote 38 nahisi kuna watu kama Jaji AR ambaye kwa akili za kawaida tu unaweza kujiuliza kwamba hivi aligombea tu bila kushinikizwa na wakubwa? Also, kulikuwa na vigogo haswa kwenye mchakato. Mawaziri wakuu watatu (Pinda, Sumaye, Lowassa), VP, kina Sitta, etc ambao wote wamechujwa na wameridhia matokeo kutokana na ukomavu wao wa siasa.
 
Haya, huyu bwana mdogo naye anadhani ubunge wa viti maalumu ni swa na wa kugombea! Ngoja akayajue madhira ya
kupita bila kupingwa safari hii.
Yaani wewe ni mbumbu mzungu wa reli wa mwisho kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom