Huyu babu kweli anakivuluga chama.
Wamawia ndo hupenda kutumia "h" badala ya "u"...?
Husiendelee= Usindelee
Ninachoona wewe ndio unafikiri ndani ya box and not outside...
Hili lina-confirm kauli zangu za nyuma kuhusu January. Amezoea Kubwebwa!hivyo lazima atetee mchakato uliotumika kumbeba magufuli. NI kipofu tu ndio anaweza sema Magufuli hajabebwa. Binafsi Sina tatizo kubwa sana na Magufuli, lakini kutamka kuwa mchakato wa kumfikisha pale alipo ulikuwa sahihi, basi huyu Makamba amedhihirisha kuwa Uamuzi wa watu wa Bumbuli kumuweka pembeni 2015 ni wasahihi kabisa(YES, i said it here, huyu bwana mdogo, kupenya ubunge 2015 ni hadithi nzito, kwani, fitna alizotumia kupita bila kupingwa 2010,haziwezi fanya kazi 2015. Asiposhindwa ndani ya CCM, basi UKAWA watachukua jimbo mapema sana, kwani wagosi wamemchoka). Naona Plan B yake, imekuwa Makonda, Nape style, ya kupayuka na kuwa lapdog wa wakubwa, huku akijipendekeza kwa Magufuli, ili afikiriwe hata ubunge wa viti maalum, baada ya kutolewa mbio Bumbuli.
Makamba, najua timu yako inasoma hapa,It's now hightime for once in your life to stand by yourself, It's a shame a 40+ chap, still has to depend of favours and backup from his parent just as you have for your entire life.
Your father can't push for you forever, and your godfather (JK) is fast approaching retirement..,Stand on your own and actually EARN something. This spoonfeeding has to stop. You know you did not deserve to be Bumbuli MP, you know you did not deserve to be in the top 5 ahead of the likes of Mwandosya, Mahiga or even Mwigulu(who despite receiving absolutely minimum political help,has achieved way more than you).
STAND ON YOUR OWN, LIKE A REAL MAN.
Ni mbunge wa kuchaguliwa mkuu, lakini sina hakika kama mchangiaji alikuwa na maana kwenye uchaguzi ndani ya chama.Hv bumbuli ni jimbo LA viti maalum?
ccm wanataka kuueleza umma kwamba demokrasia ni kukubali kila kitu hata kama utaratibu haukufuatwa hakuna kuoji wala kuuliza. ccm ni janga
Umechonga sana ila ni opinions. Hakuna substantive evidence. Bumbuli pako wazi sasa, kachukueni form tuone basi kama kabebwa. Kila kitu akifanya JM nyie watu hakiwatoshi. Hata akishusha mwezi hapa bado mtachonga. Unavyosema hakustahili kuingia Top 5, hivi umefuatilia mchakato wa wadhamini wewe? Mgombea gani alikuwa na dira inayotekelezeka zaidi ya www.tanzaniampya.com ya Makamba? Kachaguliwa kuwa mjumbe wa ilani ya CCM na umeona ilani ilivyonyooka? Mwigulu na hao kina Mahiga wametoa speech kuliko ile ya JM kwenye kutangaza nia?
Mchukieni sawa, ila usiseme kwamba hajafanya kitu. Wewe umeona kazi ya Bumbuli miaka mitano iliyopita? Mnafeli sana nyie watu.

Makamba kasema kweli Mzee Kingunge anakivuruga chama. Tunajua kwamba alikuwa na madeni, kalipiwa na Lowassa ndio anatetea tumbo. Msikose ujasiri wa kusema ukweli nyie watu. Mnakuwa wanafki tu.
Hv bumbuli ni jimbo LA viti maalum?
Hivi na wewe ni binadamu au ni mtu?Wale vijana waliokuwa wanamfagilia January Makamba. Haya kijan wenu huo anatetea ukiukwaji wa katiba yao wanaCCM.
Wazee wamesema khs umuhimu wa kuisimamia na kuifuata katiba yao wanaCCM. WanaCCM msiwe km TLP.
Makamba kasema kweli Mzee Kingunge anakivuruga chama. Tunajua kwamba alikuwa na madeni, kalipiwa na Lowassa ndio anatetea tumbo. Msikose ujasiri wa kusema ukweli nyie watu. Mnakuwa wanafki tu.