January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

January amvaa Kingunge, asema anakivuruga chama (CCM)

Kawaida ya vijana wa Lumumba huwa wanaingia kwa speed,lkn mwisho wake hukimbia na kufutika kwani wanajitadi kulazimisha nyeupe iwe nyeusi

Soma post #57 itakuongezea ufahamu wewe mfia Lowasa.

Hapa hamna cha Lumumba wala nini.....we only arguing by using facts not otherwise...

Usisingizie Lumumba kukimbia mjadala....Tueleze kwa nini unamback up Lowasa?
 
Huyu dogo anajikomba kwa makoleo.Kingunge kinukishe mpaka magamba yatawanyike

Mkuu naona ni ingizo jipya la lumumba kwa ajili ya kampeni za kutuliza songombingo ndani ya ccm
 
Huyu dogo anajikomba kwa makoleo.Kingunge kinukishe mpaka magamba yatawanyike

Kingunge anazungumka ukweli..halafu wao wanamtaka asahau na akae kimya kwa kisingizo cha kuvuruga chama...ukweli wa hoja za kingunge unawanyima CCM usingizi....
 
Leo hii January anamchimba biti Kingunge? maisha haya.
 
Umeshindwa kung'amua nahau au msemo mdogo kama huo.......unasingizia mipasho.....upstairs your so low my friend

Upo huru kutema kila aina ya nyongo ondoa hofu,kikubwa kwako ni kulinda maslahi ya ccm kwa silaha zoote ulizo nazo,ila elewa mwisho wenu ndio huuooo october
 
Wewe umeshindwa hoja....hauna sababu nyingine.....haya nenda kapige zumari huko monduli

Hujui kuwa kupiga zumali ni kazi kama kazi zingine ili mradi kujiingiza mkate wa kila siku?
 
Jazba haziwafikishi mahali waungwana!
Labda January ana makosa japo siyaoni sana.
Huyu Kingunge ndie aliyekuwa mstari wa mbele kumpiga vita Samwel Sitta kuwa anatoa mambo ya chama hadharani badala ya kupeleka kwenye vikao!!!!
Leo yeye haendi kunung'unikia kwenye vikao anaanika kweupe!!!
Yawezekana mchakato ulikosewa sawa...ila kuna pa kusemea na si popote...Hii ndio hoja ya Makamba.
Mafuta ya familia hawapakwi wageni.
Mambo ya familia ya CCM hatupaswi kuyajua; wayatatue ndani kwa ndani.
Anachofanya Kingunge si busara.
Kuwa na akili na kuwa na busara ni vitu viwili tofauti sana na kwa bahati mbaya kwa Kingunge busara hupendwa zaidi ya akili!!!

Mkuu kumzuia kingunge kutema nyongo zake ni kumuonea,kwani ccm kwa sasa ndio inaelekea shimo la thewa
 
Huyo mnae muona wa maana, undeni kamati yenu mumpitishe awe mgombea urais kwa kundi mtakalo liunda.
 
Soma post #57 itakuongezea ufahamu wewe mfia Lowasa.

Hapa hamna cha Lumumba wala nini.....we only arguing by using facts not otherwise...

Usisingizie Lumumba kukimbia mjadala....Tueleze kwa nini unamback up Lowasa?

Naona unacheza ngoma usiku wa giza hujui mpigaji nani wala muimbaji ni nani,
 
Leo hii January anamchimba biti Kingunge? maisha haya.

Huo ndio ukweli,January leo amekuwa lulu zaidi ya mzee kingunge ndani ya ccm.ukoo wa kambale ni shida sana.
 
Waache wasambaratike na hilo ndio tubasubiri ukawa. Tunataka wanamagamba waje kwetu tuwafundishe maadili na miiko ya uongozi kabla hatujawapa uenyeviti wa vijiji
 
Upo huru kutema kila aina ya nyongo ondoa hofu,kikubwa kwako ni kulinda maslahi ya ccm kwa silaha zoote ulizo nazo,ila elewa mwisho wenu ndio huuooo october

Unachekesha kweli!!! Wewe unayemtetea Lowasa sio CCM? Au kwa kuwa anataka kuhama kambi.

Hoja hapa ww unampinga Makamba kwa kumsema Kingunge....na unafanya hivyo kwa kusema hana sifa za kumzidi Lowasa.

Mimi nkakuambia weka facts kuthibitisha makamba hana sifa....badala ya kujibu unazunguka zunguka....

Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na hajawah kuthibitisha otherwise.

Unless you want to continue arguing by putting forward facts otherwise I'll describe you as i did previously, that ur too low
 
Kingunge anazungumka ukweli..halafu wao wanamtaka asahau na akae kimya kwa kisingizo cha kuvuruga chama...ukweli wa hoja za kingunge unawanyima CCM usingizi....

Kweli tupu,hata jana kwenye kipima joto yule mchambuzi maarufu mkereketwa wa ccm benson bana alikubali kuwa kingunge yupu sahihi na ana hoja ya msingi
 
Unachekesha kweli!!! Wewe unayemtetea Lowasa sio CCM? Au kwa kuwa anataka kuhama kambi.

Hoja hapa ww unampinga Makamba kwa kumsema Kingunge....na unafanya hivyo kwa kusema hana sifa za kumzidi Lowasa.

Mimi nkakuambia weka facts kuthibitisha makamba hana sifa....badala ya kujibu unazunguka zunguka....

Lowasa alijiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na hajawah kuthibitisha otherwise.

Unless you want to continue arguing by putting forward facts otherwise I'll describe you as i did previously, that ur too low

Naona unacheza ngoma husiyo ijua tena gizani,
 
Mie nadhani makamba kaongea sahihi. Maamuzi ya kamati yaheshimiwe. Coz hata huyo Kingunge akipiga kelele hawezi kusikilizwa tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom