Mkuu unataka kuwaambia nn watanzania Hapa.kwa hata wezi wanaojulikana huko ccm badala ya kukamatwa na kufikishwa mahakamani wanapewa form za kugombeaa urais?wanachama wa ccm kwa maelfu wanamdhamini mwizi agombee urais.unaoona hii imekaa sawa kweli?Asante.Wahuni wanataka kutuwekea mgonjwa mwizi nyumba nyeupe na wanalazimisha iwe wanavyotaka.Kingunge ni muhuni mwenzao tu nae,anayeweza kumfikia aniulizie kwa Kingunge,kama angepitishwa Lowasa kwa mchakato huo huo uliotumika,ungekuwa wa halali?