Hata mimi nawaita maccm tena ma pu mbavu , mafisadi, majinga, mashenzi. Maccm.
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Mkuu...nini hiki?uli gwakukaja kanya?
huyu bwana ni musomi lakini tatizo lake ni muzembe.
Lisu hata akifa jimboni kwake hata kulia hawatalia hanafaida kwao
Huwez kuwa Liccm ukaunga hoja za upizani,hivi vyama vinakizana na ccm,chagua moja ujulikane..Namshangaa sidhani kama mahakani huwa anatumia maneno.machafu kama haya.ni mtu ambaye hapaswi kuigwa na jamii
Akujue we mkewe,acha umbea bi mkubwa..alitaka wale wasiyomjua kuwa ni KICHAA , basi na wamjue.
Hahahaaaa jamaa anakwikwi ya ubongo....Dah...wewe haupo alright..utakua unaumwa ugonjwa wa kwikwi ya kwenye ubongo..yani akili zako zinarukaruka hazitulii
maccm=ukoo wa panya..yaan kuna watu wamekula kiapo cha utii mbele ya baadhi ya viongozi wa cdm, hawawezi kuona baya wao kazi yao ni kutetea hata upuuzi. Kuna siku hapa dada/mama mmoja namfahamu maisha nje ya jf ni mwana harakati wa kutetea wanawake lakini alimtukana rose kamili humu siku aliposimama kupinga unyanyasaji aw slaa. Kifupi hata wafanye nini hao viongozi wao wao kazi yao ni kutetea tu.
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Huyu ndo Maso Pakyindi, siku zote namjua kama " Macho kwenye Ugali"....so long as watu wanamtibulia ugali wake, lazima atoke povu tu!!!!
miccccm kwa ukwapuaji wa mali za uma usiitanie ni full kukwapua 2014 na 2015 itatia akili.mateneti mazuri kweli! Wako labour wodi ipi?