MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,159
- 6,574
nimeipenda hyoHeshima pesa, shikamoo kelele

Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
hana hoja ndo maana anatumia kaul mbovu.
Mbona matusi ni sifa yenu kuu. Siku mkishika dola nitahama nchi...
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Mkuu hakuna haja kuhama nchi. Wenzetu hawa wamekaa kishari Aidi , sababu tosha ya kuwanyima uongozi wa nchi.
Kwa msimamo wa matusi niliouona leo ni sawa kabisa JK kuwatupilia mbali.
CCM ITAENDELEA KUTAWALA kuliko kuwaachia watu wa aina hii.
maccm hayana akili
Hili LI-JAMAA limeleta hoja uharo hapa.
Huyu ndo Maso Pakyindi, siku zote namjua kama " Macho kwenye Ugali"....so long as watu wanamtibulia ugali wake, lazima atoke povu tu!!!!
masopakyindi = UlafiMkuu hakuna haja kuhama nchi. Wenzetu hawa wamekaa kishari Aidi , sababu tosha ya kuwanyima uongozi wa nchi.
Kwa msimamo wa matusi niliouona leo ni sawa kabisa JK kuwatupilia mbali.
CCM ITAENDELEA KUTAWALA kuliko kuwaachia watu wa aina hii.
........ Kifo cha mende!hahahaha
ccm ndembe ndembe- lipumba.
Mkuu hakuna haja kuhama nchi. Wenzetu hawa wamekaa kishari Aidi , sababu tosha ya kuwanyima uongozi wa nchi.
Kwa msimamo wa matusi niliouona leo ni sawa kabisa JK kuwatupilia mbali.
CCM ITAENDELEA KUTAWALA kuliko kuwaachia watu wa aina hii.
Ulitaka amheshimu baba yako? Respect is for those who deserve it and NOT for those who want it!Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Umesahau na mh prof Lipumba alisema CCM ndembe ndembe, CCM kifo cha mende. Kila nikitafakari nacheka tu, ati CCM ndembe ndembe.