Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Maccm, mataahira, mashetani, mafisadi, mambeya, magamba.
 
Mbona wananchi kila siku polisi wanaiwaita MA-POLISI na hamsemi wananchi wanawakashifu?
 
plee kwa kuchomwa roho..lazma utaipenda

Lazima ataipenda minini? Mitusi ya mtu mzima tena eti msomi! Kama usomi wenyewe ndio huu basi ni hasara! Ila nawakumbusha tu mi ni Jirani na kwao Tundu Lisu,aliwahi kuugua kichaa na wataalamu wanathibisha kuwa kichaa hakiponi kwa asilimia mia! Bado kuna chembechembe za uchizi.
 
hata mimi nimesikitika kwa kweli ametumia lugha nyepesi mno. maccm ni majangili, wauza unga,mauaji, Wahujumu uchumi, Mafisadi, Hayo ndio majina aliyopaswa kuyaita maccm.
 
bado hamjalijua somo la DEMOKRASIA. hoja yenye nguvu haiitaji kejeli. namna utavyo ijenga itatosha kueleweka.
Acha kujifanya hamnazo,'mpaka Lissu kuwaita hivyo yatokana na majina mabaya ambayo mmewahi kuitwa na jamii hadi kujipotezea heshima mbele ya jamii'Na ushauri unaotoa unaonyesha unavyojifanya hamnazo "MINYINYIEM hamshauriki hata kwa hoja,WATAALAM WANATOSWA USHAURI WAO KILA LEO HATA KILICHOKUSANYA WATU HAPO JANGWANI HADI KUMPA NAFASI LISSU KUWAPASHA KWA KUWANANGA KADAMNASINI NI KUTOKANA NA MAGAMBA KUENDELEZA TABIA YA KUTOSIKILIZA USHAURI HATA KUTOKA KWA WANATAALUMA".>>>>>>>>>>>>>>gamba gumu wewe nyoo.
 
Ngoja nitumie lugha inayokubalika.
Ma***si ya Serukamba + Lusinde yanawahusu maccm
 
Hata mimi nawaita maccm tena ma pu mbavu , mafisadi, majinga, mashenzi. Maccm.
Hii ndiyo typical answer ya any CDM me mber humu jamvini.
Ni akili ya kijinga, bangi, ukosefu wa ustaarabu na uliogubikwa na ujinga juu.

Mtu kama huyu, a political conon fodder, haa mchango wowote katika mijadala yenye akili, ingawaje atusi wao wanaichukulia kama mtaji.

Zaidi ya kuwa waandamanaji na watukanaji wazuri hakuna mfumo wa kisiasa unaoweza kuwasaidia watu kams hawa.
 
Ma CCM inamaanisha wengi. Hicho ni kiswahili cha kawaida kama vile yai (mayai), tuta (matuta), CCM (maccm). Sasa sijui mmetukanwa wapi?
 
Dung'unyi tumemchoka Tundu
Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu
na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za
kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile
ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye
kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini
kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine
tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.

acha kudanganya mkuu! mimi niko singida tena misughaa kwa lisu.kila mtu anamwona mtetezi ambaya hajawahi kutokea katika historia ya tanzania.sasa wewe unaanza kulete blabla zisizokua na msingi za nn? mwache mbunge wangu bhana.
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Kwako wewe aliyo sema lissu na aliyesema mwanaliccm mbunge wako mtukufu lusinde livingstone alipokuwa akilinadi liccm kule arumeru arusha utasikiliza yapi??????????!!!!!!!!!!!!!!
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

miwazo yako wewe liccm unafanana na picha yako mi nilifikiri unacondem kitu cha maana kumbe ni utapiyamlo! shame on you
 
Hii ndiyo typical answer ya any CDM me mber humu jamvini.
Ni akili ya kijinga, bangi, ukosefu wa ustaarabu na uliogubikwa na ujinga juu.

Mtu kama huyu, a political conon fodder, haa mchango wowote katika mijadala yenye akili, ingawaje atusi wao wanaichukulia kama mtaji.

Zaidi ya kuwa waandamanaji na watukanaji wazuri hakuna mfumo wa kisiasa unaoweza kuwasaidia watu kams hawa.
Wewe akil yako na serukamba hazitofautiani,kama mzima ungetoa ilo boriti kwenye mjicho wako we msisiem...
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Inaonyesha jinsi akili zako zilivo mgando, your brain has been offset and you can't think any more, ni kati ya wale wakiambiwa hapa ni hatari usipite lakini wanapita bila kusoma sign board. Wake up brother----is not too little too late.
 
Sasa Mimi nashindwa elewa maana ya matusi au lugha chafu! Neno Maccm tuwaulize wataalam wa Kiswahili watusaidie! Maana Hawa Ccm wamekosa cha kujitetea na kusema wanatukanwa! Kama tusi lenyewe ndo Hilo watuthibitishie na wasipotoshe umma!
 
na mimi nakuongezea wewe muanzisha uzi....jiCCM wee!! ulizima redio sasa uliwezaje kumsikia? au ulimsikia kwa soundless?
 
Maccm utayajua tu haiishi kulalama ,liache liende likanywe kinywaji chake!
 
Back
Top Bottom