Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Namshangaa sidhani kama mahakani huwa anatumia maneno.machafu kama haya.ni mtu ambaye hapaswi kuigwa na jamii
 
Eeeeh,.... naunga mkono hoja... Maana wapo wanaccm wengi tu wanaunga mkono hoja za upinzani kuhusu katiba. Nao hawa ni maccm? Lissu chunga mouth!
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

ku.ny.a any.e kuku akiny.a bata kaharisha
 
Akufurahishe we mwandani wake?
 
alitaka wale wasiyomjua kuwa ni KICHAA , basi na wamjue.
 
Siyo wasomi wote wameelimika wengine ni changamoto tu,
kwa mtu kama lisu kutukana kawaida yake anauwezo wa kumtukana kila mtu sijui huwaza nini.
 
usimwamini mwanasiasa yeyote awe wa upinzani awe wa chama tawala. HIVI SI HUYU LISSU ALIYEHOJI UWINGI WA WAZANZIBARI WA NUSU KWA NUSU AKIDAI ZANZIBAR HAISTAHILI RATIO YA NAMNA HIYO? NI HUYUHUYU LISSU LEO MKUTANONI ANATUAMBIA BUNGE LA KATIBA LIWE NA WABUNGE NUSU KWA NUSU. WATZ MNACHEZEWA NA WANASIASA
 
Unasikitika nini sasa? Lissu mara nyingi huwaita hivyo! MiCCM, MaCCM na akizungumzia mtu mmoja ni LiCCM. Ha hahaaaa pole sana leo miCCM itakuwa imechukia sana.
 
Kunamajimbo wamechagua vituko mnashuhudia sasa live bila hata chenga.
 
Lugha aliyoitumia Tundu Lisu haina makosa wala hitilafu yoyote kama katika islahi ya Kiswahili. Alitumia miCCM au maCCM kama kisifa kutokana na tabia na nia zao ovu za kudhamiria kubaka haki za Watanzania kujiundia katiba yao.

Mwalimu Nyerere aliwaita Wakenya 'MANYANG'AU', kwa sababu ya tabia zao zilizojengekea katika mahusiano yenye hila ndani yake. Amin tulimwita NDULI kwa sababu ya uovu wake.

Wabunge wa CCM na viongozi wao kwa vitendo vyao vya kufanya hila kupokonya haki za wananchi kujiundia katiba yao, kuwaita miCCM au maCCM, bado Tundu amewaheshimu sana. Alitakiwa awaite, MIBAKAJI CCM NA MIJIZI YA HAKI ZA RAIA CCM, ......., na kusema hivyo wala siyo kuyaonea bali ni kuyaelezea maCCM jinsi yalivyo.
 
Siyo wasomi wote wameelimika wengine ni changamoto tu,
kwa mtu kama lisu kutukana kawaida yake anauwezo wa kumtukana kila mtu sijui huwaza nini.

Hivi mkuu, ukiangalia, pale walikuwa wanasema nini, manake kila mtu alikuwa utumbo wake, mtu kama LWAITAMA na KAKOBE leo si ndo wameaibika kabisa wale.
 
tundu lisu ni mtu makini sana anawanyima usingizi maccm,hureeee Dr tundu lisu:rapture:
 
mi sioni kosa lake kama nidhamu hao maccm mbona wanauza hii nchi kwa wamerakani hiyo ndio nidhamu? ccm acheni unafiki wenu nyie mabwege tu
 
Back
Top Bottom