Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

kauli ndiyo mtu. Ukona hivyo malezi yake yana ualakini.
Ningejumuisha mjadala huu mpaka sasa, na mambo ni kama ifuatavyo
  • Asilimia 90% ya waliojibu hii ni wananchama wa CDM
  • Katika hao 90% maoni yao walisupport matamshi ya kukera ya Tundu Lissu, kwa kejeli
  • Ndani ya hao 90% zaidi ya nusu yalikuwa na matusi, mengine ya nguoni
  • Mtu unaweza ku judge elimu na ufahamu wa mtu kutokana na jibu lake, katika hao 90% wala hawajui issue ya Katiba iliyoongelewa na Lissu, zaidi ya kutukana.
  • 10% ya hao naona ndio wana CCM walioonekana vile vile kuumizwa na matamshi ya Lissu.
  • JF sasa ni uwanja si wa Thinking bali mipaho na lack of logical arguments na conclusions, na hao 90% ya waliotoa matusi, kejeli na kuunga mkono lugha chafu sana sana ni wale wanachama wajinga wajinga wa CDM ambao hata kama CDM itachukua nchi(Mungu apishilie mbali), wataendelea kuwa wajinga wajinga, kama walivyo jichagulia wenyewe.
  • Very fast, Lissu na CDM for that matter, is turning to the wretched of the earth for political support, and in turn he is also getting to be one.
  • Bila kuonyesha kile CDM inachokitaka , wananchi tulio wengi zaidi tutazidi kuipa support inayostahili CCM kuendesha nchi.
  • JK, ni lazima ataweka sahihi muswaada wa sheria ya mabdiliko ya katiba.

Naafiki hii conclusion ya watu wajinga wajinga wanaoendeleza matusi kuliko kutumia akili kujadili mada.
Bahati mbaya wengi wao wanatoka CDM, chama kisicho na mikakati yoyote ya malezi.

Tundu Lisuu ni zao la viongozi wasio na nidhamu wala ustaarabu wa kumtosha yeye mwenyewe, sembuse uongozi wa nchi.
Si ajabu kati ya majibu hayo ya kijinga anaweza kuwa mmoja wapo.

Mwalimu Nyerere aliwahi kusema , itakuwa kosa kubwa kuwapa nchi maMbweha, I will never let my country go to the dogs!!!

Sasa tunaanzan kuelewa alikuwa ana maana gani.
Mambweha yako mengi na hayawezi kuachiwa nchi, JK aendelee na kumwaga wino!
 
Ningejumuisha mjadala huu mpaka sasa, na mambo ni kama ifuatavyo
  • Asilimia 90% ya waliojibu hii ni wananchama wa CDM
  • Katika hao 90% maoni yao walisupport matamshi ya kukera ya Tundu Lissu, kwa kejeli
  • Ndani ya hao 90% zaidi ya nusu yalikuwa na matusi, mengine ya nguoni
  • Mtu unaweza ku judge elimu na ufahamu wa mtu kutokana na jibu lake, katika hao 90% wala hawajui issue ya Katiba iliyoongelewa na Lissu, zaidi ya kutukana.
  • 10% ya hao naona ndio wana CCM walioonekana vile vile kuumizwa na matamshi ya Lissu.
  • JF sasa ni uwanja si wa Thinking bali mipaho na lack of logical arguments na conclusions, na hao 90% ya waliotoa matusi, kejeli na kuunga mkono lugha chafu sana sana ni wale wanachama wajinga wajinga wa CDM ambao hata kama CDM itachukua nchi(Mungu apishilie mbali), wataendelea kuwa wajinga wajinga, kama walivyo jichagulia wenyewe.
  • Very fast, Lissu na CDM for that matter, is turning to the wretched of the earth for political support, and in turn he is also getting to be one.
  • Bila kuonyesha kile CDM inachokitaka , wananchi tulio wengi zaidi tutazidi kuipa support inayostahili CCM kuendesha nchi.
  • JK, ni lazima ataweka sahihi muswaada wa sheria ya mabdiliko ya katiba.
Nashukuru wakati unafanya hii analysis inaonyesha ulivyo hovyoo,wewe ukiwa katika hao 10% hatuwezi tegemea kipya zaidi ulichoandika,endelea kujifariji unaonekana hata akili za kwendea chooni huna...uko wa Panya
 
Unaonekana huna akili za kukutosha kuishi, ila mdomo wanuka uchafu unaoongea.
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Toka hapa,lazima tuite maccm kwa sababu ni mashetan hayo,we unataka tuwapambe kuwaitaje?
 
masopakyindiUnayolalamikia ni haya tu, hakuna zaidi?

Linganisha na ya Serukamba, Lusinde, Mwigulu Nchemba, Juliana Shonza n.k.
Juliana hana historia ya kutukana, sina uhakika na Mwigulu maana yeye huwa anachemka, lakini tafuta post niliyomsifia Lusinde au Serukamba.
Kibaya hakiigwi, akutuknaye mwache akivyo, nakama Lissu atatukana kama hao unaowataja sasa mna tofauti gani na kuleta tija ipi kisiasa!
 
Saafi sana kamanda Lissu, maCCM ni mauaji! R. I. P. Daddy kifo chako ni sababu ya maCCM. Ipo siku....
 
Back
Top Bottom