BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Hata mzee sitta kasema serikali ya sasa dhaifu,muangalie kesho saa 4:30 starTV
Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Ma-CCM yanadanganya tu!... Ma-CCM ni manafiki!... Sasa wewe LI-CCM umejuaje alichongea kama ulizima redio? Au pombe zinakupelekesha?Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Kati ya michango mingi ya wana CDM wewe una point.mbona hujasema siku zote?kwanini leo?
Kwani miCCM ambayo ilishapewa ridhaa ya kuongoza nchi inatumia kauli gani? Tena ndani ya Bunge! MaCCM bana!Eti hizo ni kauli za watu wanaotaka siku moja wawe viongozi wa nchi hii, Watanzania wa wapi watakaowapa hiyo ridhaa?
ni dhahiri kuwa point muhimu zilizotolewa na Lissu zimeumiza sana interest zako na maccm mengine.Kati ya michango mingi ya wana CDM wewe una point.
CDM yenye wasomi wazuri wana jukumu la kuisahihisha CCM kiakili.
Pengine nili mu-overate huyu Lissu, lakini showing ya leo Jangwani is a very poor one kwa msomi.
Nilitegemes angechambua mada ya Katiba na mageuzi yake lakini ameingia uSugu, he argued like a Form Four drop out.
Wengine tulikuwa na high hopes na " msomi" huyu.
Tanzania hii ni yetu sote nz hata wana CDM wamo.
Believe me mawazo mazuri hakuna anayeweza kuya pinga, lakini upuuzi wa kuita miCCM na maCcm hapo Jangwani umemweka Lissy kuwa a mediocre politician, just like the rest of them.
Mkuu kwa yanayoonekana katika posti zao na msimamo wa Lissu they will NEVER, repeat, NEVER rule our motherland!Mnatia hasira hata kama ni watanzania wenzetu, badilikeni basi tuiendeleze tzn yetu. Tumejitahidi kuwavika nguo lakini bado tu mnajivua wenyewe. Mmejiweka daraja lisilokuwepo ktk ulimwengu wa nchi ya tatu. Tuwafanyeje? Tuwaiteje? Ebu angalieni tu michango yenu hapa jf and note the diffenence for your kind change. we love you but we love more our country than you.
Ndembendembe = na kanga moja.!!!!
kifo cha mende= ?????????????????
hapa Professor atusaidie tafadhali.!!
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Hakika mmeishiwa kama mnafikir matusi ndiyo yatawaondoa CCM madarakani, basi mmeishiwa, jaribuni tu kutumia nguvu za hoja badala ya hoja za nguvu, la sivyo mtawapotezea Watanzania muda na hatima yake ni mbaya sana
lisu ni musomi lakini anazarau ni kwasababu yeye anaelewa kwamba hata akitumia lunga zikipumbavu watanzania hawawezi kuelewa kuwa amevuruanda.kosa lake ndiyo hilo mwambieni ajilekebishe awaheshimu watanzania siyo kulopokalopoka tu.Kati ya michango mingi ya wana CDM wewe una point.
CDM yenye wasomi wazuri wana jukumu la kuisahihisha CCM kiakili.
Pengine nili mu-overate huyu Lissu, lakini showing ya leo Jangwani is a very poor one kwa msomi.
Nilitegemes angechambua mada ya Katiba na mageuzi yake lakini ameingia uSugu, he argued like a Form Four drop out.
Wengine tulikuwa na high hopes na " msomi" huyu.
Tanzania hii ni yetu sote nz hata wana CDM wamo.
Believe me mawazo mazuri hakuna anayeweza kuya pinga, lakini upuuzi wa kuita miCCM na maCcm hapo Jangwani umemweka Lissy kuwa a mediocre politician, just like the rest of them.
Kuliko kumsikiliza Lissu heri nimsikilize Sugu, kwa vile najua kuwa ni kama kusubiri chakula kibichi.Halafu nasikia limeonekana kilabuni..!
huyu bwana ni musomi lakini tatizo lake ni muzembe.
dung'unyi tumemchoka tundu lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata dung'unyi. Hata kanisa katoloki parokia ya dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za njau.
Mtu ambaye zimejichanganya hizi ndizo sign zake endelea na dawa zikusaidie.Kwani miCCM ambayo ilishapewa ridhaa ya kuongoza nchi inatumia kauli gani? Tena ndani ya Bunge! MaCCM bana!