Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,623
- 64,491
Kahaba ni mama yako aliyekuzaa kwa njia ya ukahaba
Sasa wewe kahaba ndio umeandika kitu gani?
Sasa wewe kahaba ndio umeandika kitu gani?
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Umekosea sana, kahaba ni wewe unayeshinda mitandaoni kuwatetea wateja wako wanaoiua nchi yetu kwa ufisadi na madawa ya kulevya! huna haya wala aibu! wewe na shetani tofauti yenu ni moja tu, kwamba shetani ana huruma kidogo kuliko wewe.Kahaba ni mama yako aliyekuzaa kwa njia ya ukahaba
Umekosea sana, kahaba ni wewe unayeshinda mitandaoni kuwatetea wateja wako wanaoiua nchi yetu kwa ufisadi na madawa ya kulevya! huna haya wala aibu! wewe na shetani tofauti yenu ni moja tu, kwamba shetani ana huruma kidogo kuliko wewe.
Mkuu toa mfano wa maneno aliyotumia Lissu pale jangwani ya kumshushia heshima na ulinganishe na matusi yaliyotolewa bungeni na....
pengine unachuki binafsi kwa Lissu kusema ukweli.
unashangaa ccm kuitwa maccm au miccm,kwa nini usishangae ccm wanavyoitwa magamba,mafisadi,wezi,wauza unga,NK. hii inaonyesha jinsi gani hamna uwezo wa kufikiria yaani kwa akili yako maccm na miccm kwako ni tusi kuliko kuitwa fisadiNilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Ningejumuisha mjadala huu mpaka sasa, na mambo ni kama ifuatavyo
- Asilimia 90% ya waliojibu hii ni wananchama wa CDM
- Katika hao 90% maoni yao walisupport matamshi ya kukera ya Tundu Lissu, kwa kejeli
- Ndani ya hao 90% zaidi ya nusu yalikuwa na matusi, mengine ya nguoni
- Mtu unaweza ku judge elimu na ufahamu wa mtu kutokana na jibu lake, katika hao 90% wala hawajui issue ya Katiba iliyoongelewa na Lissu, zaidi ya kutukana.
- 10% ya hao naona ndio wana CCM walioonekana vile vile kuumizwa na matamshi ya Lissu.
- JF sasa ni uwanja si wa Thinking bali mipaho na lack of logical arguments na conclusions, na hao 90% ya waliotoa matusi, kejeli na kuunga mkono lugha chafu sana sana ni wale wanachama wajinga wajinga wa CDM ambao hata kama CDM itachukua nchi(Mungu apishilie mbali), wataendelea kuwa wajinga wajinga, kama walivyo jichagulia wenyewe.
- Very fast, Lissu na CDM for that matter, is turning to the wretched of the earth for political support, and in turn he is also getting to be one.
- Bila kuonyesha kile CDM inachokitaka , wananchi tulio wengi zaidi tutazidi kuipa support inayostahili CCM kuendesha nchi.
- JK, ni lazima ataweka sahihi muswaada wa sheria ya mabdiliko ya katiba.
sema mkutano umekukera sana maana mletegemea usifanikiwa ndiyo maana jana mlikuwa mnashabikia kuzuiwa kwa maamano. Kimsingi sema mkutano umekuudhi na siyo Lisu
Kama Lissu alikuwa anaiga maovu, basi tuna kila sababu kuquestion ustaarabu wake.
Kiovu hakiigwi.
Mkuu mbona unakuwa kilaza!Ili tuamini matokeo ya research yako twambie ww mwelewa umetumia statistical method gani kupata matokeo ya majibu yako?