Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Jangwani: Lissu amenisikitisha!

Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.

Ukiona hii kitu unajisikiaje 😛eace:😛eace:😛eace: chezea wewe!!!!
 
Hakuna mbunge anayenikosha kama lissu, nafurahishwa sana na anavyoyaita maccm! Nadhani tumekuelewa mccm, kinachokusumbua ni wivu tu na si kingine!
 
Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.

Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.

Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.

Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.

No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.[/QUOTE

Ukitaka kwenda nyumba ndogo usitafute visingizio mwambie ukweli mkeo
 
Najua uelewa wako mbovu ndio unaokusigitisha na co kauli ya tundulissu.
 
Dung'unyi tumemchoka Tundu Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.

sundu meru. LISSU anao umaarufu wa kupata ubunge jimbo lolote tz hii kwetu tunamtamani sana ila kakura chako hakatuzingui.
 
Umeyasahau aliyoyasema mbunge wenu Lusinde pale aliposema wapinzani wana mimba ya CCM chama dume? Umesahau, eee? Mabingwa wa derogatory language ni CCM, wakisema wao ni sawa. Wakisemwa ni noma! Hahaha! Unajidanganya sanaaaa! Hebu rudi Lumumba, lakini safari hii wakuongeze mpaka zifike Buku 10, saba naona hazikutoshi. Umekitetea chama chako kwa HOJA MFU, jambo ambalo nililitarajia!
 
Acha aseme hivyo. Ukweli CCM wanaudhi sana hasa wanapotaka kuteka kwa wazi mchakato wa katiba na huku tayari tumejua ile wanayotaka inafananaje! Hawatutakii mema Watanzania!!

Na aseme ...Haya maccm ni fake kbsa.Sema Lissu we are behind you.
 
Kweli watu nimeamini hawajui matusi...Hivi hilo ni tusi....? Mbona Mh. Lissu ameongea lugha ya kawaida...Maccm bana mnatabu kweli..
 
Ni MI CCM,MAGAMBA,MAJANGILI,MAJIZI YA RASILIMALI ZA WA TZ
 
maccm wote ni wajinga hayana akili hata waziri wake hawana busara kabisa kama wasira na pinda wamepinda sana hadi sura
 
Back
Top Bottom