Ingawa mimi mara nyingi au zote namkubali sana Lissu na hoja zake lakini naomba leo nitofautiane nae. Hakutumia lugha ya kiungwana, ameniudhi hata kama content ya hotuba yake ilikuwa sawa.
Alijaa dharau na kebehi kwa wapinzani wake. Sikuona mantiki yoyote ya kufanya hivyo. Angeeleweka vizuri sana kama angekuwa humble, firm and friendly wakati wa presentation yake.
Namsamehe bure..