Jane "Mkenya" na nyumba zao 50

Jane "Mkenya" na nyumba zao 50

Sijawahi kuona popote akikorofishana na watu hata mara moja.
Humu hadi nimetengeneza ulingo wa ngumi, ukizingua nakualika ulingoni ukidundwa unakimbia, ukizubaa utajikuta una user ID mpya. (Nakutania mwayego) malumbano ya nini wakati hapa story tu Kila mtu anakula kwake? 👁️❤️U
 
Nimeipenda hii

....Kipindi chote cha mazungumzo, wale Wawakilishi, wanaume wawili walikuwa wakinitreat na mimi kama sehemu ya partners wa Joe. Na mimi nikawa najitutumua kupenyeza YES NO nyingi ili my presence iwe recognized.
 
Mji mzito Sana huu
 
Back
Top Bottom