Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,864
- 168,177
- Thread starter
- #101
Mtaji mkubwa kabisa wa tapeli ni tamaa yako. Anakutamanisha Jambo Fulani, anakusadikisha matokeo, hapo sasa ukiingia mkenge umeliwaMkuu ahsante kwa simulizi murua, inajenga na kukomaza ubongo!
Ndiyo maana wanasema 'tapeli ni sawa na shetani', hana rangi wala kabila.
Udhaifu wako ndiyo fursa kwake na hana formula ya ya utapeli, bali chochote kinachojipanga, kwake ni halali.