Hawakuwa na mpango wa kukupiga.Kunipiga
Mungu anawaonaHaakuwa na mpango wa kukupiga.
Wale uliokuwa nao ndo walipigwa.
Na wewe ulikuwepo kuongeza idadi na uaminifu zaidi.
Usishangae siku unakutana na watu wanakumbushia hilo tukio.Mungu anawaona
Umeona ehhhizi style zikitumika mikoani itakuwa ni vilio kila kukicha
Wewe mtoto una akili sana.Haakuwa na mpango wa kukupiga.
Wale uliokuwa nao ndo walipigwa.
Na wewe ulikuwepo kuongeza idadi na uaminifu zaidi.
Dahh.. kweli aisee, maana Mimi ndio nilkuwa personal secretary wa Joe na nilikuwa naandika noticeUsishangae siku unakutana na watu wanakumbushia hilo tukio.
Ni vyema wakiwa hawakuingizwa king.
Maana utakuwa salama, kama waliingizwa king pole sana Bujibuji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu hata hukulipwaDahh.. kweli aisee, maana Mimi ndio nilkuwa personal secretary wa Joe na nilikuwa naandika notice
Nilitumukishwa pasi kupewa chochoteUkawa unachukua note za kikao kwa hiyo wewe ulikua katibu muhtasi wa joe
Modern slavery[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu hata hukulipwa
Hapa jamaa alisoma mstari gani? Au ule unaosema heri wafu wafao katika Bwana wapate kupumzika?Na Wachina pia.
![]()
Huyu jamaa sijui hata kama anachukiaga. Natamani sana siku nimuone. Naamini anafanana sana na Avatar yakeMzee bujibuji stori yako nzuri sana. Nasikitika ulitumika, uzuri madhara hajakuja kwako. Lakini mzee bujibuji kila nikimkumbuka Gilesi nacheka sana,Wewe ni free soul.
Sijajua ni kitu gani kiliwafanya wasite kukupigaNa Wachina pia.
![]()