JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kutype mbona cha mtoto kuna watu wanatembea kabisa

Juzi juzi baba yangu mdogo manusra arest in peace,kaamka usiku katembea huku amelala,kumbuka anakaa ghorofani,katoa mguu wa kwanza nje ya dirisha,ndio mamdogo akashtuka huyu mtu vipi ndio kumvuta ndani,la sivyo yangekuwa mengine

Kwahiyo hayo mambo yako,mfano now natype huku nimelala🤣🤣
nimemuonea huruma huyo ma mdogo wako,,

kwan wakilala hawafungi madirisha?
 
Back
Top Bottom