Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,459
- 29,478
Kadri unavyoinjoi ndio unavyokwisha taratibutatizo nainjoi kinyamaaa😅😅
Kadri unavyoinjoi ndio unavyokwisha taratibutatizo nainjoi kinyamaaa😅😅
Nipo gud sana mtu wangu,sijui ww hukoErtugrul Bey uko poa kwanza?
am not sure broh😅😅Kadri unavyoinjoi ndio unavyokwisha taratibu
niko gud sana asee,, nimekukumbuka mnoNipo gud sana mtu wangu,sijui ww huko
Kwanini usiwe sure? Au unajipa moyo🤣🤣am not sure broh😅😅
Nafurahi kusikia hivyo baby girl, wanasemaje pande hizo lknniko gud sana asee,, nimekukumbuka mno
siko sure kama nakwisha taratibu wakati najiona niko sawa hundred percentKwanini usiwe sure? Au unajipa moyo🤣🤣
me too,,,Nafurahi kusikia hivyo baby girl, wanasemaje pande hizo lkn
Kila mtu hudhani kama wewe unavyodhani,ni kama vile tunasikia watu wanavuta na kuzikwa,halafu sisi tunajiona kama bado tupo sana,tumesahau hata hao waliovuta walijiona bado wapo wapo sanasiko sure kama nakwisha taratibu wakati najiona niko sawa hundred percent
eh unamaanisha niniKila mtu hudhani kama wewe unavyodhani,ni kama vile tunasikia watu wanavuta na kuzikwa,halafu sisi tunajiona kama bado tupo sana,tumesahau hata hao waliovuta walijiona bado wapo wapo sana
Hapa unyama sana ujue🤣🤣...yan punchline kama hizi hufanya siku iwe nzur sana🤣🤣🤣me too,,,
akili zako sasa agaaaah 😅😅😅😅😅Hapa unyama sana ujue🤣🤣...yan punchline kama hizi hufanya siku iwe nzur sana🤣🤣🤣
Naamanisha umesema unajiona upo gud kwa maana hizo local beers or whisky hazikuathiri,ndio nikasema kila mtu kwa kile anacho kipenda husema hakumuathirieh unamaanisha nini
bt sijasema nakunywa local beer or whiskey mi nipo napiga togwa tajeeer😅😅😅😅Naamanisha umesema unajiona upo gud kwa maana hizo local beers or whisky hazikuathiri,ndio nikasema kila mtu kwa kile anacho kipenda husema hakumuathiri
Ndio nikatoa mfano wa kifo,kwamba daily tunaona wwnzetu wanadanja lkn sisi tunajiona kama hatutadanja soon
Togwa si jamii ya ulabu au mi ndio sijui🤣🤣bt sijasema nakunywa local beer or whiskey mi nipo napiga tongwa tajeeer😅😅😅😅
hakuna ulabu hapo hicho ni kinywaji cha kawaida cha kukata kiu, wanakunywa hadi watoto wadogoTogwa si jamii ya ulabu au mi ndio sijui🤣🤣
na unakunywa mda wowote, asubuhi mchana na jioni hakuna limitihakuna ulabu hapo hicho ni kinywaji cha kawaida cha kukata kiu, wanakunywa hadi watoto wadogo
Si wanaiwahi,je ikichachuka sana si pombe hiyo?hakuna ulabu hapo hicho ni kinywaji cha kawaida cha kukata kiu, wanakunywa hadi watoto wadogo
Sasa mpaka uje town si utakuwa na kitambi wewe!!!na unakunywa mda wowote, asubuhi mchana na jioni hakuna limiti