JamiiForums Usiku wa manane

Khaa🀣🀣 basi unajikosesha raha ya kupumzika mwenyewe!
πŸ˜€πŸ˜€ rotation yangu ya kazi ni 2 weeks on two weeks off. Sasa hizi wiki ambazo huwa nipo off huwa nakuwa na muda mwingi wa kupumzika sometimes siku nzima unakuta nimelala tu. Matokeo yake ndio kama hivi unakuta mida kama hii macho kodo.
 
Duhh una raha wengine tunapumzika mchana usiku tunakaa macho kodo! Week inayofuta tu nabadili ratiba narudi kwenye kulala saa 2-3 na siamki mpaka kukuchee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…