Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 6,457
- 12,905
Safii...Napenda sana kuandika nina viNote book kibao , nikishiba kazi kuandika tu ilimradi nimeandika 😂 View attachment 3694150
Safii...Napenda sana kuandika nina viNote book kibao , nikishiba kazi kuandika tu ilimradi nimeandika 😂 View attachment 3694150
Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁Sio kipochi kuwa na heshima ni kibegi changu , na muandiko ni wangu sina Manzi Mimi , jinsi nilivyo na usongo wa Maisha napata wapi muda wa kuwa na Manzi , kumuita baby sijui my na kumCare ?😆😎View attachment 3694145
Hiko ni kibegi changu Cha Mitikasi kila sehemu nipo nachoView attachment 3694148
Haya bwana sie wengine tuliacha tulivyo kuwa darasa la nneNapenda sana kuandika nina viNote book kibao , nikishiba kazi kuandika tu ilimradi nimeandika 😂 View attachment 3694150
Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .Naona jamaa utakuwa winga wa magari nini😁
na una kimuandiko cha kupodoa mpka unanizidi,Hamna , hamna ni mwanaharakati mitikasi tu kila sekta yeyote nzuri halali yenye maslahi nipo .
Nikiwa katika sekta ya ujenziView attachment 3694287
Nikiwa katika kilimbo cha mbogamboga
View attachment 3694290
Nikiwa katika sekta ya kubangua Korosho na kuuza
View attachment 3694291
Nikiwa sekta ya ufugaji na kuhudumua mifugoView attachment 3694293
Nafanya hayo yote huku nikiwa bado nasoma , najiita Gunman kwenye mitikasi nikikamata silaha sijiulizi mara mbili ni kulenga shabaha tuView attachment 3694299