JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Alhamdulillah kumekucha #TheSunHasRisen
Jua limechomoza na matumaini mapya yanachomoza kila siku #StruglingNeveEnds
IMG_20261020_060653.jpg
 
Ni manzi yake bwana huoni kipochi hicho?
Sio kipochi kuwa na heshima ni kibegi changu , na muandiko ni wangu sina Manzi Mimi , jinsi nilivyo na usongo wa Maisha napata wapi muda wa kuwa na Manzi , kumuita baby sijui my na kumCare ?😆😎
IMG_20261020_101919.jpg


Hiko ni kibegi changu Cha Mitikasi kila sehemu nipo nacho
IMG_20261020_102208.jpg
 
Back
Top Bottom