SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 409
- 774
Kwamba anajua nyimbo zipi hebu nisanue mkuu, hawezi kukuoshea namna hiyoosasa hivi huwezi kunitisha kwa lolote mtu mwenyewe kumbe bado unaota meno ,😅 na kunicheka sana jana kuwa sijui nyimbo za zamani kumbe unichora mtu mwenyewe ana miaka 22😂