SanArt
JF-Expert Member
- Oct 14, 2026
- 561
- 997
Inaonekana umekulia blueband na cocoa sio? 😂siachi na hamna kitu utanifanya
Inaonekana umekulia blueband na cocoa sio? 😂siachi na hamna kitu utanifanya
Huwa napenda hii punchline🤣🤣siachi na hamna kitu utanifanya
nahisi haya ndo yatakua yanakamilisha 32 au yamepitiliza ni 34 huko😅 ujue mie sio kinda ni m bibi flani hivi wa makamoHapo sasa nimekuelewa, na nipo sahihi kumbe bado hujakamilisha meno yote,kwa maana nyingine unaota meno,mwenetu kumbe bado kinda sana,haya kakojoe ulale chap
huu sio muda wa watoto kuwa macho, nenda kalale mtoto meno yaote 😅nimevuka huko mda sana
umeanza kusimulia siri zako sasaInaonekana umekulia blueband na cocoa sio? 😂
jirani hadi wew kwelii😅 nimelia sanahuu sio muda wa watoto kuwa macho, nenda kalale mtoto meno yaote 😅
nani mdogo wako? tengua kauli kijana mdogoSaja kuforce mdogo wangu, nakwambia kweli, huwezi kusema Unaota magego in your late 20s,mwisho wa kuota ukienda sana ni mid 2os tu.
Sijui kwa nini genz wa jf wanajikutaga mishangazi?huu sio muda wa watoto kuwa macho, nenda kalale mtoto meno yaote 😅
Yani kumbe jela ingekuwa nje nje mwenetu,nillkuwa nina plan kukutembelea pm na kuona ni namna gani tuyajenge,kumbe hata meno bado hujakamilisha🤣🤣nahisi haya ndo yatakua yanakamilisha 32 au yamepitiliza ni 34 huko😅 ujue mie sio kinda ni m bibi flani hivi wa makamo
Wewe ndio unaonesha kuwa asubuhi mlikuwa mnapakiwa blueband huku magari ya njano yakiwasubiri nje muwahi shule. Sasa mmekuwa mchel mcheleumeanza kusimulia siri zako sasa
astagfulilah leo nadharirika mie😄😄,, naomba mnishushe kwanza nikajipangeYani kumbe jela ingekuwa nje nje mwenetu,nillkuwa nina plan kukutembelea pm na kuona ni namna gani tuyajenge,kumbe hata meno bado hujakamilisha🤣🤣
kwahiyo unaumia ukiwa wapi?Wewe ndio unaonesha kuwa asubuhi mlikuwa mnapakiwa blueband huku magari ya njano yakiwasubiri nje muwahi shule. Sasa mmekuwa mchel mchele
Totoo bado Unaota magego, Nimecheka sana kwa kweli, na unajua usiku watoto hawasemagi uongo!!nani mdogo wako? tengua kauli kijana mdogo
Ebu kajipange kwanza,kagua kama meno yapo 32 au 29.5 nishtue sio mbaya naweza karibia pm,kama yapo chini ya hapo ni nomaa!!astagfulilah leo nadharirika mie😄😄,, naomba mnishushe kwanza nikajipange
natamani nikukamate alf nikung'ate hayo mashavuTotoo bado Unaota magego, Nimecheka sana kwa kweli, na unajua usiku watoto hawasemagi uongo!!
sasa hivi huwezi kunitisha kwa lolote mtu mwenyewe kumbe bado unaota meno ,😅 na kunicheka sana jana kuwa sijui nyimbo za zamani kumbe unichora mtu mwenyewe ana miaka 22😂jirani hadi wew kwelii😅 nimelia sana
Nimeipenda hii🤣🤣Totoo bado Unaota magego, Nimecheka sana kwa kweli, na unajua usiku watoto hawasemagi uongo!!
Naumia nikiwa mbagala rangi3 hapa mbu inapiga kelele tu.. Hata usingizi sipatikwahiyo unaumia ukiwa wapi?
Nimeipenda hii🤣🤣Totoo bado Unaota magego, Nimecheka sana kwa kweli, na unajua usiku watoto hawasemagi uongo!!
nimehesabu yapo 34 japo pm ipo kwenye matengenezo haifanyi kazi tajeeerEbu kajipange kwanza,kagua kama meno yapo 32 au 29.5 nishtue sio mbaya naweza karibia pm,kama yapo chini ya hapo ni nomaa!!