JamiiForums Usiku wa manane

Bu wiyeom alibaki ametoa machoo tu kampa wine halafu kamuweka mari target na vibuyu master archer akampa mambo.🤣🤣
Mpaka wanamshawishi Bu wiyeom kukubali ilikuwa mtiti , vipande vile nilivipenda sana 😂

Inaelekea Jumong ulikuwa unaifuatilia kama Mimi sana mpaka Majina ya wahusika na vyeo vyao hukosei kabisa 🙃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…