Hawajakosea watu walio sema ukipendwa na mwanamke utainjoy
Baby girl ni mwanafunzi wa Chuo huku homeboy ni mfanyabiashara au mjasiliamali
Pamoja na kwamba baby girl ni mwanafunzi lakini zile hela ambazo anatumiwa kutoka kwao kwa ajili ya gharama zake za Chuo ndio hizo ambazo amekuwa akimpatia jamaa yake aongezee mtaji wa biashara.
Kama haitoshi pesa hizo hizo ndio baby girl kamlipia jamaa chumba,kamnunulia jamaa yake simu
Baby girl Kama haitoshi bado anambless jamaa na mavazi na viatu,hata siku hiyo ambayo ishu ilibumbulika,baby girl akasema mbele ya kamera kwamba "hata hivi viatu alivyo vaa nimemnunulia mimi" akaendelea kusema hata hizi nguo nimemnunulia mimi"
Ila ndio hivyo tena mwenye bahati habahatiki,home boy pamoja na kupata treatment yenye hadhi ya kistaa kutoka kwa baby girl ,aliamua kwenda kutembea na kazini wa baby girl
Nako huko akapewa zawadi ya saa ambayo aliiuza,kumbe hiyo saa ni ya mshua wa baby girl, baby girl akafunguka kwamba hiyo saa ilimletea sana tabu brother wake kutoka kwa mshua,kwasababu mshua alihisi kaka wa baby girl ndio kainyakua ile saa
Kumbe maskini homeboy kahongwa huko nae akaitia sokoni,katika mahojiano yale homeboy alikula makofi kama mawili barabarani kutoka kwa baby girl baada ya.kujua homeboy amekula kazini yake
View: https://youtu.be/sbONZDlsJlA?si=_Hqb5BzYHwQMUii6
Mwisho wa siku homeboy alipokonywa simu na baby girl akawa anaondoka huku homeboy akibembeleza, haikujulikana mwisho wa siku ilikuwaje
Adios!