win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 10,721
- 36,566
ma mkubwa usinune jamni sa nani atanisaidia kulea😪Baby girl mimi mama mkubwa nimekununia 😒😒
ma mkubwa usinune jamni sa nani atanisaidia kulea😪Baby girl mimi mama mkubwa nimekununia 😒😒
Una jeuriiiiii na hicho kitoto nikija nitakiminya mashavu huruma sio malezi🤣🤣ma mkubwa usinune jamni sa nani atanisaidia kulea😪
woi woi kitoto chenyewe hiki nimekipata uzeeni ndo unataka ukinyanyase😪😪 roho yangu hii ujue😅😅😅Una jeuriiiiii na hicho kitoto nikija nitakiminya mashavu huruma sio malezi🤣🤣
Weka sukari 😋😋woi woi kitoto chenyewe hiki nimekipata uzeeni ndo unataka ukinyanyase😪😪 roho yangu hii ujue😅😅😅
hii chai inavutia mno ukipatia na biscuit au samosa😋Weka sukari 😋😋
ukimuona mwambie namsubiriHuyu mwamba kapotea kama yesu Intelligent businessman
Ili iweje bintiukimuona mwambie namsubiri
we mwambie hayo mengine achana nayoIli iweje binti
Sawa kama akirejea tena ni muda sasa haonekani jukwaani ila mara ya mwisho alilalama anaumwawe mwambie hayo mengine achana nayo
Njoo weekend nikupikie babeshii chai inavutia mno ukipatia na biscuit au samosa😋
najuaSawa kama akirejea tena ni muda sasa haonekani jukwaani ila mara ya mwisho alilalama anaumwa
say no moooa ma mkubwa wake kichanga changu☺️😊Njoo weekend nikupikie babes
mi nakupenda pia sijajua huyo mwenzangu maana kasema mahaba yake yapo kwa mtoto wangu saivi😅😅😅😅Huwa nainjoy sana conv zenu ShesRise_1 na win-one jokes za hapa na pale,kifupi mnanoga sana ,Nawapenda
Ma mkubwa sina bayasay no moooa ma mkubwa wake kichanga changu☺️😊
Asante sana tunakupenda piaHuwa nainjoy sana conv zenu ShesRise_1 na win-one jokes za hapa na pale,kifupi mnanoga sana ,Nawapenda
Akikujibu nitag 🤣🤣mi nakupenda pia sijajua huyo mwenzangu maana kasema mahaba yake yapo kwa mtoto wangu saivi😅😅😅😅
nipate lost ya mkia wa kondoo na ndizi mzuzu za kuiva tatu moyo wangu utakaa kwa amani kabisaa usisahau na juice ya nanasi moilove,😍Ma makubwa sina baya
Upikiwe nini mzazi😍🤗
Mama kachanga 😊
Kutoka Goba/Instambul 🤣🤣Asante sana tunakupenda pia
Ewe mturuki wa kuchemsha