Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,207
- 29,038
Kamanda naona unachoma ghala la silaha mchana kweupe kabisa🤣🤣Kamanda Huwa una piga rasha rasha za faster just to clear the atmosphere halafu unalala mbele🤣🤣
Ertugrul Bey
Kamanda naona unachoma ghala la silaha mchana kweupe kabisa🤣🤣Kamanda Huwa una piga rasha rasha za faster just to clear the atmosphere halafu unalala mbele🤣🤣
Ertugrul Bey
🤣🤣🤣 Haiwezekani kamanda, ila ni kakitengo chako na unakiamsha ile ile.. Bravol kamandaKamanda naona unachoma ghala la silaha mchana kweupe kabisa🤣🤣
Am glad unajua nipo hapa kukiwasha halafu mambo mengine yanaendelea kamanda wangu,pamoja sana🤣🤣🤣 Haiwezekani kamanda, ila ni kakitengo chako na unakiamsha ile ile.. Bravol kamanda
Kiwashee kiwashee..ikifika Mida ya Wazee sugu mapigo tuu..mpka Mida ya Wazee wa kusweep kina tressor watamaliza mpka asubaa🤣🤣Am glad unajua nipo hapa kukiwasha halafu mambo mengine yanaendelea kamanda wangu,pamoja sana
Nimeipenda hii kamandaKiwashee kiwashee..ikifika Mida ya Wazee sugu mapigo tuu..mpka Mida ya Wazee wa kusweep kina tressor watamaliza mpka asubaa🤣🤣
Kamanda mrembo, usiku wa leo unapendeza sana, wewe unaonaje?Kiwashee kiwashee..ikifika Mida ya Wazee sugu mapigo tuu..mpka Mida ya Wazee wa kusweep kina tressor watamaliza mpka asubaa🤣🤣
Ndio ndio kamanda, maana makazi magumu haya kamanda 🤣🤣🤣Nimeipenda hii kamanda
Kumekucha kamanda wangu🤣🤣Kamanda mrembo, usiku wa leo unapendeza sana, wewe unaonaje?
Leloo.. unaleta matusi eneo la kazi sasa hili ni shambulio la kimwili hili 🫠 Kamanda mrembo ni madawili tuKamanda mrembo, usiku wa leo unapendeza sana, wewe unaonaje?
Upo lindoni?Kamanda Huwa una piga rasha rasha za faster just to clear the atmosphere halafu unalala mbele🤣🤣
Ertugrul Bey
Hivi ukiitwa mrembo unajisikiaje?Leloo.. unaleta matusi eneo la kazi sasa hili ni shambulio la kimwili hili 🫠 Kamanda mrembo ni madawili tu
Tupo lindoni hapa baba Abel..Upo lindoni?
Naona unaidhalilisha nchi...🤣🤣🤣Hivi ukiitwa mrembo unajisikiaje?
Ok unaendeleaje lakini upo gudi?Tupo lindoni hapa baba Abel..
Kwani wewe sio KE?Naona unaidhalilisha nchi...🤣🤣🤣
Alhamdullilah am great.. hofu kwako kigamboni finestOk unaendeleaje lakini upo gudi?
Sio eneo la kazi sasa 🤣🤣Kwani wewe sio KE?