JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

I trust nobody,
Mimi ni fugitive wa CCM, Theists/Dini na homophobes. Nikitiwa nyavuni kwa Tanzania ya sasa hakuna wa kunitetea😁.
Mimi sio CCM wala Chadema
Yeyote anaezingua napita nae
Nadhani hua unaona kule kwenye jukwaa la siasa

Then nime spend time madrassa kwa sababu ya familia ni Muslim
Kwa ufukunyuzi wangu nikaona sielewi nikahamia Ukristo napo sijaelewa baada ya kuipitia bibilia

Mpaka nilipoamua kuachana na issue za dini saivi nipo tu
Issue za Mungu na mengineo nimewaachia wanaoelewa

Kwenye ushoga napinga kwa sababu hata nature yenyewe inakataa issue za us*nge licha ya kua kila mtu anaweza kufanya anachotaka ilimradi haumizi wengine

So mimi nitakutetea ukidakwa kama kifaranga nitakua na Bango la #free Yoda
 
"Sumu haijaribiwi kwa kuonja"- Freeman Aikael Mbowe, M/kiti wa zamani CHADEMA na sasa njiani kuelekea CCM😁
 
Back
Top Bottom