Nazijua zote ntakuletea jopo mkuu hakika utanipandisha cheo😎Utatufaa sana kwenye kikosi cha kupambana na majangili na wala mijani kwakuwa unajua mbinu zao zote
Jiangalie kwenye kioo mnafananaUmenifananisha
Una bahati leo nilikuwa nakukanda!!Nichi...
Alitaka tu kushindana na wewe au sioWin kanigeza tu
🤣🤣🤣🤐🤐🤐🙏🤟✍️⁉️Una bahati leo nilikuwa nakukanda!!
Tokea 2023 nalamba vumbi tu 🤣Ninavyojua mimi wewe ndio unaifukuzia hiyo pisi
Na nnasikia unajihusisha na id moja si rafiki, kama ni wewe anza kupunguza mazoea kabisa!🤣🤣🤣🤐🤐🤐🙏🤟✍️⁉️
Kamanda mgeni ashafika na hutuambii au uliogopa kwamba utapangiwa lindo mapema iwezekanavyoMgeni ashafika ana wiki sasa
Ah wapi, nipe nivae tuone, vinaweza vikanibana😁Tafazari bwana hivi viatu vikubwa na vizito..havijaribiki na vijana
Sipo hivyo na I'd angu ni hii hii moya...sipunguzi mazoea niko na Wewe 🤟🙏✍️💪⁉️ SeranNa nnasikia unajihusisha na id moja si rafiki, kama ni wewe anza kupunguza mazoea kabisa!
Mzee wangu naona Sasa umemaliza ChuoAh wapi, nipe nivae tuone, vinaweza vikanibana😁
Safi sana,kuanzia leo ushakuwa kamanda wa kikosi rasmiNazijua zote ntakuletea jopo mkuu hakika utanipandisha cheo😎
Seroo mtu wa ajabu sana.Hivi Seran ni kweli unakula mjani?
AsanteKamanda mgeni ashafika na hutuambii au uliogopa kwamba utapangiwa lindo mapema iwezekanavyo
Hongera sana kamanda
Anajikuta mteule yupo pembeni kwa bwana🤣🤣Seroo mtu wa ajabu sana.
Anakula majani kama mbuzi ila anaweza akakuhubiria injili mpaka ukaona Yesu huyu hapa.
Ndio master nipo nakaanga chipsi.Mzee wangu naona Sasa umemaliza Chuo