Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,577
- 29,809
Huyo naye atakuwa na hila Zake tu bwana,kwani wakishua hawezi kufanya kazi?hiyo wa kishua umefanya tresor aamini nina maisha mpka kaninyima kazi😪,, sitaki tena litumike
Imeisha hiyo kamanda,nimepokea maelekezoThe goal ndio yenyewe kamanda
Safi kamanda.Imeisha hiyo kamanda,nimepokea maelekezo
shangaa na wew, wakati mimi ni muuzaji Mzuri wa matikiti na magimbi😅😅😅Huyo naye atakuwa na hila Zale tu bwana,kwani wakishua hawezi kufanya kazi?
Aisee nishazoea hilo jina hata sijui ntaiachaje,na huko pm nahisi kuna text kama 200 zimepanga foleni daadeki
Kamanda siku hizi tuna utani mimi na wewe? Ebu angalia ulichoandikaSafi Amanda.
Friendly fire.Safi Amanda.
Weeeeeeee!shangaa na wew, wakati mimi ni muuzaji Mzuri wa matikiti na magimbi😅😅😅
hakuna chochote kwanza siitumii mda maana huwa inastuck
eishiiiiii😅😅🤭🤭 nimeziba kuonesha kwamba situmii ila hata hazifiki mbiliWeeeeeeee!
Nimeona juzi umeweka screen short mpaka ukaziba hizo text ,kama 1000 hivi daadeki
Walinzi hawakasiriki.. ukijua kusoma vizuri ujue na kuandika vizuri mlinzi..🤗Kamanda siku hizi tuna utani mimi na wewe? Ebu angalia ulichoandika
Psychological warfare mistress🤣🤣🤣Friendly fire.
Unaambiwa nyingi mpaka ukaona soo ukaamua kuzificha na bado🤣🤣eishiiiiii😅😅🤭🤭 nimeziba kuonesha kwamba situmii ila hata hazifiki mbili
Ulinzi ndio lugha gani 🤣🤣Walinzi hawakasiriki.. ukijua kusoma vizuri ujue na kuandika vizuri mlinzi..🤗
Easy there soldier.Psychological warfare mistress🤣🤣🤣
laleki nimekoma😅 bora ningeziachia tu zionekaneUnaambiwa nyingi mpaka ukaona soo ukaamua kuzificha na bado🤣🤣
Welcome to the club homie23:07 I’m feeling blessed ☺️
Hivi Unatumia miwani? hii michezo tuendelee? kwamba Amanda unaiona ila Gworl unaiona gwori sio. Eti Amanda kweli?🤣🤣Ulinzi ndio lugha gani 🤣🤣
Hapa usiku wa manane ni makamanda General The Gwori
Fire 🔥Welcome to the club homie