Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 539
- 1,061
Swali lako limekaa in hypocrisy sana 😅😅😅ndio mtu yoyote ambae sio Muslim ni kafiri au nakosea Ertugrul Bey
Swali lako limekaa in hypocrisy sana 😅😅😅ndio mtu yoyote ambae sio Muslim ni kafiri au nakosea Ertugrul Bey
mmmh,nakumbuka ushawahi kusema humu we wa kishualaiti ungejua maisha yangu yalivyo na nilipo toka hata usingeweza kunidhihaki mwanetu,, anyway nachukulia kama utani ila mi sio wakishua
mi sijasoma hiyo "hypocrisy" inamaana ganiSwali lako limekaa in hypocrisy sana 😅😅😅
UNAFIKI 📌mi sijasoma hiyo "hypocrisy" inamaana gani
hahahahahaha,mi sijasoma hiyo "hypocrisy" inamaana gani
makubwa,,, ert ndo ananiitaga hivyo ila mi sijawahi kusema hivyo,, ila hamna shida tupo kutaniana no hard feelingsmmmh,nakumbuka ushawahi kusema humu we wa kishua
namnafikia nani sasaUNAFIKI 📌
ooooh ila kama wa kishua wa kishua tu,usijipe unyonge Mkuumakubwa,,, ert ndo ananiitaga hivyo ila mi sijawahi kusema hivyo,, ila hamna shida tupo kutaniana no hard feelings
sijipi unyonge, mimi bado ni unga unga mwanaooooh ila kama wa kishua wa kishua tu,usijipe unyonge Mkuu
Nalaza mshale now,gud nait wa kishuaok ok nimekupata
utanifanya nianze kunyimwa msaada kisa unaniita wa kishua😆Nalaza mshale now,gu nait wa kishua
siaminisijipi unyonge, mimi bado ni unga unga mwana
Okaynamnafikia nani sasa
watoto wa kishua mambo mengi hawajuiNalaza mshale now,gud nait wa kishua
nifanye nini uniaminisiamini
aloooowatoto wa kishua mambo mengi hawajui
hapana usifanye chochotenifanye nini uniamini
sawa tresorhapana usifanye chochote