JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kuna channel moja ya U-tube ya kiislamu inaelezea mambo mengi mno kuhusu sayansi ukiangalia ile utashangazwa, inaitwa "The Lote tree" wana videos zao zipo kwenye mfumo wa muendelezo zinaitwa "Allah and the cosmo" ukipata muda kazicheki, ingawa ni ndefu ila utapata kujua mambo mengi kuhusu sayansi
Asante mkuu ntazitafuta na kuzi download
To be honest qur'an utaielewa vizur sana kupitia maelezo ya sayansi

mfano Allah anasema "Sema je hamuoni ngamia jinsi alivyoumbwa?'

Sasa msome ngamia mambo yake ndio utajua kwanini Allah kamsifia ngamia,ikiwemo uwezo wake wa kukaa bila kunywa maji na kula kwa muda mrefu,na.siku atakayokunywa basi anarudisha uzito wake na yote aliyokosa kipindi ambacho hakula wala kunywa


Msome hapa kwa uchache

🐪 Maajabu 10 ya Ngamia

1. 💧 Ngamia hahifadhi maji kwenye nundu yake. Hili ni dhana maarufu lakini si kweli. Nundu huhifadhi mafuta, ambayo yanaweza kutumiwa kama chanzo cha nishati.


2. 🌵 Anaweza kula mimea yenye miiba ambayo wanyama wengi hushindwa kula, kutokana na muundo wa mdomo wake.


3. 🏜️ Anaweza kustahimili joto kali sana na kupunguza upotevu wa maji kwa njia mbalimbali za mwili.


4. 💧 Ngamia ana uwezo mkubwa wa kunywa maji kwa haraka baada ya kukaa muda bila maji. Anaweza kunywa kiasi kikubwa kwa muda mfupi.


5. 👃 Pua yake ni kama kichujio. Anaweza kufunga mianya ya pua wakati wa dhoruba za mchanga, huku muundo wa pua ukisaidia kupunguza upotevu wa unyevunyevu.


6. 👀 Ana kope ndefu na tabaka za ulinzi kwenye macho, zinazomsaidia dhidi ya mchanga wa jangwani.


7. 🦵 Miguu yake imejengwa kwa ajili ya mchanga. Nyayo zake pana husaidia kutomruhusu kuzama sana kwenye mchanga.


8. 🌡️ Joto la mwili wake linaweza kubadilika kwa kiwango fulani, jambo linalosaidia kupunguza haja ya kutokwa jasho wakati wa joto.


9. 🐪 Anaweza kuishi katika mazingira makavu kwa muda mrefu, akitumia maji kwa ufanisi mkubwa kuliko wanyama wengi.


10. 🧬 Kuna ngamia wa nundu moja na wa nundu mbili. Ngamia wa nundu moja huitwa dromedary, wakati mwenye nundu mbili huitwa Bactrian camel.



🔥 Punchline:

“Ngamia si mnyama wa kawaida wa jangwani; mwili wake ni kama ‘survival machine’ iliyoundwa mahsusi kupambana na joto, kiu na mchanga.” 🐪🏜️
 
oooh kwahiyo hata kwenye maisha ya kawaida unaweza kula nyama ambayo haijachinjwa na Muslim!?
Katika ibada ya kuchinja, kichinjo kinatakiwa kichinjwe kwa jina la Mwenyezi Mungu,nje ya hapo sio sawa

Na hata huyo muislamu akichinja hicho kichinjo kwa kukusudia sadaka ya mizimu au sijui mambo mengine ya kishorikina haifai kula hiyo nyama
 
oooh kwahiyo hata kwenye maisha ya kawaida unaweza kula nyama ambayo haijachinjwa na Muslim!?
Huruhusiwi, kuishi kwa mtu kwa amani haimanishi uige mila zake hapana ni makubaliano tu kwamba mimi nitafanya yangu na wewe utafanya yako hakuna kuingilia cha mwenzie
 
Katika ibada ya kuchinja, kichinjo kinatakiwa kichinjwe kwa jina la Mwenyezi Mungu,nje ya hapo sio sawa

Na hata huyo muislamu akichinja hicho kichinjo kwa kukusudia sadaka ya mizimu au sijui mambo mengine ya kishorikina haifai kula hiyo nyama
simaanishi nyama za kafara, ila namaanisha nyama za kawaida ile mboga tu kama kuku, bata nk
 
oooh kwahiyo hata kwenye maisha ya kawaida unaweza kula nyama ambayo haijachinjwa na Muslim!?
mbn kawaida sana, njoo DRC huku hadi wamama wanachinja na watu wanakula
duh, hongereni ila mi nilivyo muoga siwezi kuchinja hata njiwa achilia mbali kuku
wee toto la kitajiri hayo makitu huyawezi
 
Back
Top Bottom