ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,595
- 75,658
Hamna jina hapoMnanivuluga sasa wakwetu... Hizi juhudi maanake matokeo zero..Brethrens🥹🥹
Hamna jina hapoMnanivuluga sasa wakwetu... Hizi juhudi maanake matokeo zero..Brethrens🥹🥹
Jina lipi? Na avator ipi mkuu🤔mbn kama jina la kiume na avatar ya kiume? kuna usalama kweli hapa
Tobaaa rohoo yangu..Serious??Hamna jina hapo
au mie ndio sioniJina lipi? Na avator ipi mkuu🤔
Jibu ulichoulizwa generalau mie ndio sioni
uliwaza na kuwazua😄😄😄 hapo bado handwriting uanze kuwa romantic😊Kweli eeeh .... Maana nilijitafakari sana Yani mnoooo ...😌
nimelia sana😥 mimi sio wa kukoswa gawioNg'ombe wa maskini hazai🥲
hebu wakuache kwanza upumue jamni ndo waanze kutoa maduku dukuMnanivuluga sasa wakwetu... Hizi juhudi maanake matokeo zero..Brethrens🥹🥹
We umeshindwa hata kukopi gwori ndio nini 😏😏😏😏Mi naona fake p lilikuwa liko vizuri, kwani gwori maana yake ni nini ?
.precisely ..Once my home g ..always home g😍😍😍 wakati nilichukua mapumziki mafupi kutengeneza jina mimihebu wakuache kwanza upumue jamni ndo waanze kutoa maduku duku
si ndio sisi ni wamoja🥰🥰,... wameshindwa kujali ni namna gani ulivyo fikiria user name iwe Unique ila wanakusema tu,, hawana shukrani hebu tuwaache😊.precisely ..Once my home g ..always home g😍😍😍 wakati nilichukua mapumziki mafupi kutengeneza jina mimi
Imenitoshea kama wewe umeliptisha tu...!🤣🤣 Hawa wengine watajitahidi kuzoeasi ndio sisi ni wamoja🥰🥰,... wameshindwa kujali ni namna gani ulivyo fikiria user name iwe Unique ila wanakusema tu,, hawana shukrani hebu tuwaache😊
sijui kashauliwa na nani abadili? kamanda ana akili za kushikiwa naona,ndio ubaya na uzuri wa JFMi naona fake p lilikuwa liko vizuri, kwani gwori maana yake ni nini ?
kamanda kama unashauliwa kirahisi hivi kubadili ID unanipa hofu sana ,ila acha tu nikae kimyaImenitoshea kama wewe umeliptisha tu...!🤣🤣 Hawa wengine watajitahidi kuzoea
General twende na hili hili... Nchi inabadili jina... Mimi nani?sijui kashauliwa na nani abadili? kamanda ana akili za kushikiwa sijui
General general general... Macho mita mia, mwendokamanda kama unashauliwa kirahisi hivi kubadili ID unanipa hofu sana ,ila acha tu nikae kimya
Kamanda hilo nenda nalo tu. ila tuko pamojaGeneral twende na hili hili... Nchi inabadili jina... Mimi nani?